Hao Madreva 19 wa Kenya waliothibitika kuwa na Corona waliruhusiwa kuingia nchini?


Mkuu technically
una maslahi yoyote yale ya kibiashara au hata ya kijamii na nchi ya Kenya? Naona umeguswa sana huu mtafaruku wa muingiliano wa kibiashara kati ya Kenya na Tanzania kuliko hata ule wa Tanzania vs Zambia na Tanzania vs Rwanda.

Kuwa na subira! Diplomasia itafanya kazi yake.
 
Hivi ww ni Mkenya au Mtanzania mamluki?
 
Rais aliquestion credibility ya vipimo, unadhan nan atakayeviamin hivyo vipimo ni swala la kujiongeza tu
 
Rais aliquestion credibility ya vipimo, unadhan nan atakayeviamin hivyo vipimo ni swala la kujiongeza tu

Rais kutilia shaka hakusema visitumike, aliagiza uchunguzi ufanyike.

Kuna mahali alisema anaifunga maabara au kusitisha zoezi la upimaji?

Ukijiongeza kupita taarifa ya wizara husika unaweza kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…