Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Mshindi wa Vita

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2025
Posts
315
Reaction score
139
Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
IMG-20260428-WA0020.jpg
 
Kwenye Orodha hii lazima atatoka Rais wa 2030 Mimi sio mtabiri ila tunzeni huu Uzi.

1. Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
2. Dkt Mwigulu Nchemba
3. Paul Makonda
4. January Makamba
5. Tulia Akson
6. Joel Nanauka
7. David Kafulila
Tulia mtoe, hatuwezi kuendelea kuongozwa na wanawake. Aliyepo amewaangusha sana wenzake.
 
Kwenye Orodha hii lazima atatoka Rais wa 2030 Mimi sio mtabiri ila tunzeni huu Uzi.

1. Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
2. Dkt Mwigulu Nchemba
3. Paul Makonda
4. January Makamba
5. Tulia Akson
6. Joel Nanauka
7. David Kafulila
Hizo zote ni takataka tu. Rais wa Tanganyika 2030 ni Kamanda Tundu Lisu
 
Back
Top Bottom