mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Simbachawene.
Haitakuja itokee mpaka anaingia kaburini kana kuwa raisi angekuwa mwaka jana hapo alikuw hana mpinzani
Muda ukifika hautaamini macho yako.Haitakuja itokee mpaka anaingia kaburini kana kuwa raisi angekuwa mwaka jana hapo alikuw hana mpinzani
Weka Palamagamba Kabudi, Ondoa David Kafulila.. 🙏Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Dah🤣🤣🤣Kama Tulia yupo, weka hapo na jina langu
Kina Makamba hawanaga dini haoJanuary motoe hii ni zamu ya Wakristu
Sahau hii kwa sasa...!Tunataka Maendeleo bila kujali nani anayaleta.January motoe hii ni zamu ya Wakristu
Hamna kitu Hapo no3!Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
kikubwa tuombe uzimaMuda ukifika hautaamini macho yako.
Paulo Makonda hapana,Nanauka, hapana,Tulia akson Hapana,Having Kafulila hapanaNimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
hv nyie mnatumia kigezo Gani kumuweka kwenye list ya uraisi MTU kama Makonda?Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Inashangaza na kustaajabisha sanahv nyie mnatumia kigezo Gani kumuweka kwenye list ya uraisi MTU kama Makonda?
hv nyie mnatumia kigezo Gani kumuweka kwenye list ya uraisi MTU kama Makonda?
yani atoke mwanamke aingie mwanamke ? daah .Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589