Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Heeh Hadi Joel Nanauka? Kwa kipi? Kwa uwezo upi? Kwa uzoefu Gani? Au ni vibe tu? Makonda? Duuh
 
Mimi siyo Mkatoliki na pia sina ujinga wa udini wala ukabila, akichaguliwa mtu dini /dhehebu langu au kabila langu hainisaidii kitu wala kunipunguzia kitu hivyo dhana hiyo ni ya kipumbavu, akichaguliwa muabudu shetani kama anatenda haki na ni mzalendo nitamuunga mkono.
Huu ujinga mlikua mnadanganya watu zamani
 
Hata ukiamua kuwaza usitumie akili ya kawaida, utumie hata akili moja tu ya kalio la KUSHOTO tu...UNAJUA TU RIZIWANI NDIE RAISI!
Hao wote walioko kwenye hiyo orodha hakuna hata mmoja.
Ile wizara wamemuweka kimkakati. Aina kelele au ajari. Ila ni ngumu sana record zake zipo hatuwezi kuwa na Raisi wa dizaini ile. Tutakwisha zaidi ya sasa.
 
Mnaletewa ustadhi!! Mmeshaonwa mapoyoyo hamna cha kuwafanya!!😀

Hao waliofikia uongozi wa kitaifa na wana mafao mpaka kifo baada ya kustaafu watoe hapo ie VP,PM na speaker
 
ni zamu ya VATICAN
Kwasasa vatican wacheze karata zao vizuri!!

Kuna watu wawili wataachiana viti kama vatican ya huku kwetu itafeli ku take over

Namba tatu anaweza kumwachia baadae JK junior aliepo utumishi!!

Waziri wa habari ndio chaguo la wakubwa kwa sasa !!!japo kule kanisani wanamtaka emma apige walau awamu moja!!
Lakini Hadi sasa kanisani wamezidiwa sana!karata Yao pekee ni Trump na EU pekee wakati karata ya wakubwa wa sasa ni Russia,china na UAE!

Ngoja tuone!

Yeyote kati Yao anatufaa kama atafata maagizo ya state ba malengo tuliojiwekea kama taifa!!
 
Back
Top Bottom