Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Rais ni JANUARY Makamba japo alishindwa vibaya kwenye Wizara ya NISHATI.
 
Sio kweli mkuu, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani alikuwa anafuturisha watu.
Anaenda kanisani na huwa anaongozana na mama yake(she is a Catholic), michango anatoa mno sijapata tu uhakika kama anahudhuria jumuia.
 
Ee Mungu why nisinge zaliwa 3050 uko labda nisinge yaona haya

Mtu alie zaliwa marekan miaka ya1779 ni tofauti sana na huyu alozaliwa 1900 na kuendelea

Sometimes hii kuzaliwa mapema nchi bado changa ma ujinga mengi visa kibao hii ndo ubaya wa kuzaliwa ktk nchi changa miaka64+ midogo sana

Ni sawa na kuzaliwa wa kwanza nyumban tofauti kabsa na mdogo wako wa 3 au4 yeye amekuta kila kitu kisha jiset ajui machungu na magumu ulopitia kaka yake

Nimewaza ujinga ila ndo ukwel uwo
 
Kwaiyo tumesahau yote yaliyotokea kuhusu vifo vya watanzania wenzetu tunajadili nani awe raisi 2030,kweli? Any way tujiandae na zaidi kile kilichotokea tukiendelea kuziba masikio pamba... tuone kama kama hakina Chande washindi kwa muda huu
 
Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Usiisahau laana ya mauaji ya 29 October 2025.

◾️It’ll take more than 50 years before another bi+ch becomes the top dog!
◾️It’ll take more than 50 years before another Zanzibari (of any gender or creed) becomes the top dog!

Save this!
 
Magamba matatu*makomda kuwa kwenye wizara nyeti 2025.,then 2030 kuwa the next magu!!!
 
Kama hapo HAKUNA JINA LANGU basi hiyo list ni batili kwa sababu mimi ndio NAMBA MOJA anayekuja. Take it or leave it.
 
Kama hakutakuwa na mabadiliko ya Katiba na sheria za uchaguzi yaani Wizi wa kura,kufoji matokeo nk unaosimamiwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaendelea.
Ye yote atapita ili mradi awe chaguo la Mzee wa Msoga,(kama bado atakuwa hai)!
Nataka kuamini huenda haitafika 2030 namba moja atakuwa,ili kuliokoa Taifa.
 
Back
Top Bottom