Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Paul Makonda aka Bashite mtupilie mbali. Nchi haiwezi kuongozwa na zwazwa aliyefoji cheti halafu shogaNimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Paul Makonda aka Bashite mtupilie mbali. Nchi haiwezi kuongozwa na zwazwa aliyefoji cheti halafu shogaNimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
amini kwamba hayupo kwenye list hapo. hakuna aliyejua Magu atakua rais hakuna aliyejua Samia atakua raisNimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Watu walijuaamini kwamba hayupo kwenye list hapo. hakuna aliyejua Magu atakua rais hakuna aliyejua Samia atakua rais
Ni kiongozi mzuriPaul Makonda aka Bashite mtupilie mbali. Nchi haiwezi kuongozwa na zwazwa aliyefoji cheti halafu shoga
kama wapo waliojua hakuna aliye post, ukipostiwa probably ni uhakika haupo kwenye listWatu walijua
Desturi yetu tunayo badoHata ukiamua kuwaza usitumie akili ya kawaida, utumie hata akili moja tu ya kalio la KUSHOTO tu...UNAJUA TU RIZIWANI NDIE RAISI!
Hao wote walioko kwenye hiyo orodha hakuna hata mmoja.
Mbona Kikwete watu walijua na akawa?kama wapo waliojua hakuna aliye post, ukipostiwa probably ni uhakika haupo kwenye list
Awamu hii ni ya Wakristo zingatiaRais wa 2030 ni Rizimoko
Alijitahidi kutetea mauzo ya bandari, akasahau shenani hana rafiki...tehKama Tulia yupo, weka hapo na jina langu
Meza itapinduliwa na Kingmaker Mkwere.Awamu hii ni ya Wakristo zingatia
katiba ndio inavosema au mazoea?January motoe hii ni zamu ya Wakristu
Kwamba wenye haki ya kuwa Rais ni Wana CCM tu?RAIS kitalembwa !! mbona haviendani
Wao ndio wana dola na hii ni Tanzania.Kwamba wenye haki ya kuwa Rais ni Wana CCM tu?
Namba 3 au 7 ila Mimi siwataki wowote hapo.Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Nawahakikishia kukiwa na Katiba Mpya mgombea ni Makonda ila kama hakuna Katiba Mpya mgombea ni Nchimbi au MwiguluYaani hata Tumbiri yuko kwenye list .... Bora angekuwa Kitila.
Anyway, itawezekana tu kama CCM wataendelea na huu mtindo wao wa kuendesha uchaguzi. Kwa sasa kama kuna free and fair election CCM haiwezi kushinda Urais.