Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589

Yaani hata Tumbiri yuko kwenye list .... Bora angekuwa Kitila.

Anyway, itawezekana tu kama CCM wataendelea na huu mtindo wao wa kuendesha uchaguzi. Kwa sasa kama kuna free and fair election CCM haiwezi kushinda Urais.
 
Back
Top Bottom