Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Ni ngumu sana
Muda ukifika ndiyo utajua. Yule Mwamba hajawahi kushindwa kwenye mapambano yake.

Kama aliweza kumuondoa Mbowe na genge lake lililo jimilikisha CHADEMA kwa miaka nenda, kama aliweza kuigaragaza serikali na mawakili wake kwenye kesi ya uhaini wa mchongo, kama alipigwa risasi 30+ na 16 ziliingia mwilini mwake! Na baadhi ya hizo risasi anaishi nazo mpaka leo! Na hajawahi kuogopa wala kukata tamaa! Kama aliweza kupambana na Magufuli wakati wa utawala wake kiasi cha kufikia hatua ya kumuita Diktea Uchwara, nk!

Ndiyo atashindwa kuiondoa madarakani ccm inayoishi kwa msaada wa vyombo vya dola?
 
Hili kwa sasa sio la kwanza,..Tujue kwanza UKWELI , HAKI, UWAJIBIKAJI, NA MARIDHIANO YA MAUAJI YA KIMBARI YA OKTOBA,29, 2025, Mbili . KATIBA MPYA ..3.Tume HURU KWELI KWELI NA SHIRIKISHI YA UCHAGUZI...nje ya hapo CHADEMA na Wapenda Mageuzi na Maendeleo ya kweli Tanzania, watakuja na NO REFORMS NO ELECTION PHASE II..
 
Kwenye Orodha hii lazima atatoka Rais wa 2030 Mimi sio mtabiri ila tunzeni huu Uzi.

1. Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
2. Dkt Mwigulu Nchemba
3. Paul Makonda
4. January Makamba
5. Tulia Akson
6. Joel Nanauka
7. David Kafulila
No.3 inaonyesha ambavyo sasa tunaenda kwa njia ama tunabahatisha au lorri la maadili limefeli breki
 
Wananchi wa wapi hao?jusi
Hawa maiti waliopiga chafya juzi mo29 mortuary. Kizazi kimebadilika usisahau hilo, na athari za uchaguzi wa juzi zitachangia sana uchaguzi wa 2030 uweje. Kwahiyo kama unajizima data, hili ulikumbuke.
 
Back
Top Bottom