Ivi jamaa alikulaga mkeo?Tumbili ni mjinga sana uzi umejaa ID zake halafu anaanzisha mada halafu anajijibu na ID zake nyingine.
Haya maigizo akafanyie watoto huko sio humu.
Heti Makonda hii nchi Ina laana kibaka makondo heti nae anataka urais Makonda ana tofauti gani na Sabaya?Duh hadi bashite, mkuu uko serious kweli
Januari kaanza lini kuwa mvaa rozali !?Mkatoliki
Mama yao hawataki wakatoliki kwasababu hawapendi unafiki.Mkatoliki
Namba sita angefaa zaidi katika kipindi cha miaka 10 ijayo.Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Unashangaa nini wakiwa kina bashite au tulia. bi msumi hajawazidi kitu chochote cha cha kiuongozi hao wawiliMara 100 na Lukas mwashambwa akawepo.
Hivi hii nchi mmeshaona ni wajinga pumpuni kabisa kiasi kwanza hata Tulia awe rais wetu achiria mbali bashite?
Namba 2 keshalijua hilo, kwa sasa anazunguka nchi nzima akiongea lugha ya hayati JPM ili awateke kiakili vijana watakaopiga kura mwaka huo wa 2030.Mama yao hawataki wakatoliki kwasababu hawapendi unafiki.
Mwigulu atabebwa na KKKT ya Malasusa iliyowekwa mfukoni na Samia.
Usiseme hakuna aliejua kuwa Magu atakua rais. Yapo baadhi ya maandiko humu ya 2014 yalimtaja magu kuwa rais ajae. Nakumbuka andiko la Pascal Mayalla Liko la MAGAMBA MATATU piaamini kwamba hayupo kwenye list hapo. hakuna aliyejua Magu atakua rais hakuna aliyejua Samia atakua rais
CCM yenyewe inajua kabisa kuwa 2030 patachimbika sana Ivo kuleta Mgombea ambae Hana influence itawatafuna wenyewe kilichotokea 2025 ni funzo kubwa kwaoKama Bado wananchi wataendelea kuwa waoga, watachaguliwa rais na hao Tiss. Lakini wananchi wakisema imetosha huu uchafu utakuwa umefikia mwisho.
Alijichanganya, kikamlamba ...haamini ! Alikuwa anatembea na escot plus misafara, sasa hivi anatembela gari moja kama mkiwaAlijitahidi kutetea mauzo ya bandari, akasahau shenani hana rafiki...teh
Kwa akili yako ya kitumbili huu utoto unaofanya ndio umekutuma pia kufikiri hiki ulichoandika?Ivi jamaa alikulaga mkeo?
Tumbili toka atombewe mke wake na Kiswaswadu amekuwa wa hovyo sana.Yaani hata Tumbiri yuko kwenye list .... Bora angekuwa Kitila.
Anyway, itawezekana tu kama CCM wataendelea na huu mtindo wao wa kuendesha uchaguzi. Kwa sasa kama kuna free and fair election CCM haiwezi kushinda Urais.
Jenga hoja, achana na ujinga, Huyo tumbili anaingiaje? Hiyo Orodha Ina watu wangpi?Kwa akili yako ya kitumbili huu utoto unaofanya ndio umekutuma pia kufikiri hiki ulichoandika?
Jenga hoja acha ujinga vinginevyo hapa hapakustahili Wewe.Tumbili toka atombewe mke wake na Kiswaswadu amekuwa wa hovyo sana.
Mwigulu NchembaNimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589