Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

SSH na JK ikifika 2030 ndio wataona rangi halisi za Wana CCM, Mzee wetu mpaka 2030 akili yake unaweza kuwa ime drop kidogo akataka kuforce aache Mwanae ni Rais

Patatokea mpasuko Mkubwa sana
Msoga lazima afosi kingi, Rizimoko anapiga jaramba sasa hivi.
 
Kama Bado wananchi wataendelea kuwa waoga, watachaguliwa rais na hao Tiss. Lakini wananchi wakisema imetosha huu uchafu utakuwa umefikia mwisho.
Tiss wanakuja na vyuma vya moto, unategemea raia wakienda na mizuka watatoboa?
 
7th president Nchimbi Kila MTU anajua
Ikiwa hivyo ata kaa miaka 10 na 5 aki serve kama makamu na baadae raisi? Au atakuwa one term president? Vita na wakulungwa lile genge linalo taka watoto wao wakalie kiti( baba mstaafu, mama mtoto bungeni) ataiweza?
 
Namba 3 au 7 ila Mimi siwataki wowote hapo.

TEC wanampigania mtu wao no.1.

Kwa muktadha wa Siasa za Katiba Mpya CCM watamuweka Makonda unless kusiwe na Katiba Mpya
TEC Walikwambia au chuki zenu tu? Hivi ukishakuwa muislam by default IQ inaporomoka ama? Maana asilimia kubwa mnawaza udini udini tu.
 
Back
Top Bottom