Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Paschal Mayalla alizungumza haya mambo YouTube...ghafla io clip siioni tena..

Yeye kuna watu flaniflani aliwataja...nahic tucheze nae.
 
Hata walete mwenye influence nyakati hazipo upande wao,zimewakataa!
Shida kubwa ya Binadamu ni Kutaka Kwenda Against na Changes, Mabadiliko ni vital kwenye Kila sehemu tukubali wakati unapo tupita na tuendelee na mambo mengine sio Kila wakati lazima kwenye political arenas
 
Upo sahihi kabisa Mkuu. Kuna watu huwa wanakawia kujifunza hili kwa Njia rahisi badala yake hujikuta wanajifunza kwa Njia ngumu!
 
Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589
Ulicho patia ni kutokuweka muislamu tu ila hapo huyo mwanamke Tulia ni ndoto kuwa Rais...baada ya samia ndiyo mwisho kwa mzenji kushika urais Tanzania na mwanamke kushika urais Tanzania ...Kuhusu urais, Sa100 na Wahuni wenzie wanatamani ndugu wa Samia au Rais wa Zanzibar wa sasa au Mmoja wapo wa Raia feki yoyote (kundi la Rostam azizi) ndiyo awe Rais ..kuna sababu ya wao kutamani hivyo tatizo linakuja ni dini maana wanawaza kuwa ni zamu ya mkristo japo siyo utaratibu rasmi na wanao uwezo wa kuupindisha ...ila YOYOTE WATAKAYE MCHAGUA HAKUNA ATAKAYE KUBALIKA NA JAMII...
 
Nimeikuta hii sehemu hebu tuijadili bila upendeleo Wala chuki zozote.
View attachment 3580589

Dr. Mwigulu anafaa kwa 2030, changamoto ni Kwamba siyo Mkatoliki.

Pili, ili uwe Rais wa Tanzania unapaswa uwe umetumikia nafasi ya Waziri kwa kipindi kisichopungua miaka 15. Hivyo, Mwigulu anafaa tangu 2005 hadi 2030 ni miaka zaidi ya 15.

Tatu, Rais wa Tanzania Mwaka 2030 safari hii lazima awe Mkristo. Changamoto ni Kwamba Mwigulu siyo Mkatoliki

Nne, Changamoto nyingine ya utamaduni wa CCM, ni Kwamba MAKAMU na WAZIRI MKUU, Hawa hawapaswi kuwania nafasi ya U-Rais
 
Back
Top Bottom