Hapa atatoka Rais wa Tanzania 2030. Tunzeni huu Uzi

Makonda anakubalika sana kwa wananchi wengi, hata mimi namkubali sana, ikitokea ameteuliwa kugombea uraisi mapema sana naenda kumpigia kura
hv nyie mnatumia kigezo Gani kumuweka kwenye list ya uraisi MTU kama Makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…