the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
- Thread starter
- #101
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila tupambane aghalau tuache chumba kimoja na sebule.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila tupambane aghalau tuache chumba kimoja na sebule.
Hahahaa.
Hivi komedi ilishindwa kuwatajirisha kweli?
Ist ipoo kwenye izo gariView attachment 1815343
Mafukara mnajua sana kujifariji, hongera.
New York City.
Jinsi walivyobamba kipindi hicho nisingetarajia wawe hiviKama komedi inalipa basi Wakuvanga na Mpoki pia wangekuwa na hela.[emoji1][emoji1][emoji1]
Hivi unajua Bongo kuna baadhi ya watu (hususan hao unaosema wanaishi kama ulaya), lakini ukweli ni kwamba wanaishi zaidi ya watu majority waliopo huko ulaya.... Hata kama upo Ulaya na una pesa za kutosha Ukija Bongo utaishi kwa raha / matanuzi zaidi kuliko ukiwa huko ulaya...
Kikubwa uhai tu.
The Empire state.New York City.
Sasa unataka kunitumia wasiojulikana ama vipi mazee?Kitongoji gan
Sasa unataka kunitumia wasiojulikana ama vipi mazee?
Kama vipi unataka kuja njoo PM.
Hahaha uliza wewe mkuu..hahaha hua nacheka sana aisee ukikutana na waliokata tamaa ya maisha au walioamua kua maskini ukikuta wanachoongea unaweza kuaga haraka na kuondoka kwa kasi, mtu anachamba na makaratasi anasema ameridhika na maisha, mtu mtoto wake kafa sababu alikosa shilingi elfu 10 ya kununua dawa anasema karidhika na maisha ya kifukara kwamba anashukuru kwa kila jambo, na ukikuta ni wamekaa kinyonge na nyimbo ni za dini za kulilia mateso shida, majonzi, machozi, n.k
Kiranga wa ushuani Oysterbay to U.S, hongera sn mkuuMkuu.
Mimi ninavyosema hivyo nimekaa Oysterbay, na hao viongozi, na kulikuwa hakuna Fire Brigade services.
Labda kama wameleta miaka hii ya karibuni. Kwa sababu nimeondoka kitambo.
Happy kabla ya shule ya msingi bongoyo ndio afisi za tiss nimekatiza hapo kwenye Hilo getting nikiongea na simu wameni cheki balaaNipo mitaa ya osterbay kwa mbali naona mjengo wa Mo Dewji kwa mbali tena naona mjengo wa Paul Makonda kwa pemben yang naona mjengo wa makamu wa rais nikapita Bongoyo road nikakutana na mjengo anaoish mtoto wa Bakhresa kwa kwel nimesikitika sana hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya kweli haya maisha hayako fear wengin tunaish tu dunian ila kuna viumbe wengine wanaenjoy life imebidi kuingia hapa simply fresh kupata hata ka kinywaji kidogo.
PESA INAUMUHIMU MKUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU TUTAFUTE PESA JAPO AJIRA NI KIKWAZO SANA
Picha?Nipo mitaa ya osterbay kwa mbali naona mjengo wa Mo Dewji kwa mbali tena naona mjengo wa Paul Makonda kwa pemben yang naona mjengo wa makamu wa rais nikapita Bongoyo road nikakutana na mjengo anaoish mtoto wa Bakhresa kwa kwel nimesikitika sana hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya kweli haya maisha hayako fear wengin tunaish tu dunian ila kuna viumbe wengine wanaenjoy life imebidi kuingia hapa simply fresh kupata hata ka kinywaji kidogo.
PESA INAUMUHIMU MKUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU TUTAFUTE PESA JAPO AJIRA NI KIKWAZO SANA
Nipo mitaa ya osterbay kwa mbali naona mjengo wa Mo Dewji kwa mbali tena naona mjengo wa Paul Makonda kwa pemben yang naona mjengo wa makamu wa rais nikapita Bongoyo road nikakutana na mjengo anaoish mtoto wa Bakhresa kwa kwel nimesikitika sana hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya kweli haya maisha hayako fear wengin tunaish tu dunian ila kuna viumbe wengine wanaenjoy life imebidi kuingia hapa simply fresh kupata hata ka kinywaji kidogo.
PESA INAUMUHIMU MKUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU TUTAFUTE PESA JAPO AJIRA NI KIKWAZO SANA
Alafu shuka kule miande,watu wamejenga bnKuanzia kijichi mpaka njia panda ya neluka shuka mpaka baharini daah ni next level kule
Upo mitaa gani huo mkuuWeka na mjengo wa meli