Hapa bongo kuna watu wanaishi kama Ulaya


Kweli mkuu
 
Khaa! Nilipita Mbagala nikaona nyumba zilivyobanana, ikabidi nitafute pesa nianze kuwanunua majirani zangu 'woote' wanaonizunguka kupunguza uswazi ili angalau wasi disturb upepo.
Unajua unaweza jenga kwa taabu ile tu unahamia, mara jirani anaanza kufuga ng'ombe, mbuzi, kitimoto, kuku nk, mpaka unajikuta unaichukia nyumba uliyoijenga kwa taabu nyingi na kwa kujinyima sana.
 

Kaka acha kutusema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu.

Mimi ninavyosema hivyo nimekaa Oysterbay, na hao viongozi, na kulikuwa hakuna Fire Brigade services.

Labda kama wameleta miaka hii ya karibuni. Kwa sababu nimeondoka kitambo.
Kiranga wa ushuani Oysterbay to U.S, hongera sn mkuu
 
Oysterbay, Masaki, Ada Estate, Upanga, Kijitonyama, Mikocheni, Mbezi beach, Malindi Estate (Mbweni), Bunju beach, Kigamboni mtaongezea iliyobaki
 
Happy kabla ya shule ya msingi bongoyo ndio afisi za tiss nimekatiza hapo kwenye Hilo getting nikiongea na simu wameni cheki balaa
 
Picha?
 

Makonda ni nyumba yake hiyo ya OBAY au ya serikali? Si nasikia anakaa Kigamboni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…