Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Yah palikuwa pa kiboya nimecheza saana kuule... Afu now ukikaa unaona hadi maghorofa ya posta dadekKabla ya ile lami tulikuwa tunaona pa ajabu ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah palikuwa pa kiboya nimecheza saana kuule... Afu now ukikaa unaona hadi maghorofa ya posta dadekKabla ya ile lami tulikuwa tunaona pa ajabu ajabu
Kuna angle moja ilikuwa unaona daraja la KigamboniYah palikuwa pa kiboya nimecheza saana kuule... Afu now ukikaa unaona hadi maghorofa ya posta dadek
Kwa ufupi sina uhakika saana ila kwa dar es salaam sehem zoote nilizowah kufika... Sijawah ona sehem tamu kama ileKuna angle moja ilikuwa unaona daraja la Kigamboni
Nakuelewa, ile milima Dar hii hakuna.Kwa ufupi sina uhakika saana ila kwa dar es salaam sehem zoote nilizowah kufika... Sijawah ona sehem tamu kama ile
😲😲🤣🤣Imani za kijinga,yaani Mungu akunyime ukwasi kwa vile utajiua? sasa kwanini asizuie hicho kifo, na akupe mihera kibao,
Hutakiwi kushukuru kama hujatafuta
👍👍🤣🤣We bana kila mtu aenjoy alichonacho, nini Buza kuna siku nilikua masaki ya Chanika ndanindani huko kuna kakijiji kana nyumba kama tano tu lakini masela wapo nje kwenye viti vya magogo wamekaa wanapiga gongo yao kiroho safi tu halafu wamefurahi sana hadi nikawaonea wivu hilo life lao
🤣Mimi nikiweza kujenga gheto self contained, ndani nikaweka sabufa na TV flat (40 inches), friji , mtungi wangu wa gesi, basi inatosha hiyo ndio itakuwa Ulaya yangu🤣
Awesome 👍Usiumie sana ukasahau "Kuishi" endelea kufurahia maisha yako huku ukitafuta,
Usihuzunike sana coz humo ndani ya hizo nyumba hujui nao pia kuna matatizo yao wanayoyapitia,inaweza kua ni matatizo ya kiafya,kifamilia au matatizo mengine yeyote yale,
Usisubiri mpaka utimize jambo fulani ndio uwe na furaha,unaweza kutimiza jambo hilo kisha ukawa na furaha ila baadae ukaja kuona kua jambo hilo ni la kawaida tu,Siku zote omba afya njema na uzima huku ukiendelea kutafuta.
🤣Hawa wengine hawana nyimbo wanasingizia nyumba.
Mtu anayetumia nyumba kupata demu siku akitetereka kiuchumi na demu anamkimbia.
He has no game. Not even Playstation.
Unataka mtumishi awe maskini?Michango ya waumini ina nguvu sana
Tatizo siku hizi utumishi hauna thamani, kila mtu anavamia.Unataka mtumishi awe maskini?
Exquisite 👍Kuna Mzee mmoja alikuwa anafanya kazi serikalini. Alikuwa mtu mkubwa kicheo.
Akawa kapandishwa cheo kikubwa kabisa kazini kwake.
Akapewa nyumba nzuri sana Oysterbay.
Karibu kabisa na ubalozi wa Marekani.
Watoto wake wakafurahi sana. Wakaona wanaenda kuhamia Oysterbay, tena karibu kabisa na Ubalozi wa Marekani.
Lakini, yule Mzee hakuwa mtu wa kupenda makuu.
Alisema anapapenda pale alipokuwa anaishi, maana pana sehemu kubwa, tena amezoeana sana na majirani. Wanaishi vizuri.
Zaidi, hakuona sababu za kuhamahama nyumba za serikali kwani alikuwa anakaribia kustaafu.
Watoto wake wakakasirika sana.
Wakasema Baba unaacha nafasi ya kuhamia Oysterbay, tena mtaa wa Laibon ukae jirani na rais Mwinyi na ubalozi wa Marekani?
Baba yao akasema ameshaamua.
Basi muda kidogo tu, ubalozi wa Marekani ukapigwa bomu. Ile nyumba ikapasukapasuka vibaya sana kwa sababu ilikuwa karibu sana na ubalozi wa Marekani.
Kama yule Mzee angehamia pale, familia yake ingeweza kuumia vibaya sana.
Watoto wale wakamuona yule mzee kama alikuwa na uwezo wa kuona yajayo.
Unaweza kutamani kitu kizuri, ukasononeka kukikosa.
Kumbe, usalama wako unakuja unapokikosa hicho kitu.
Ukikipata unapata balaa.
👍Kawaida ya binadamu tuna hulka ya kutamani tusichokuwa nacho.
Umasikini ni kitu kibaya sana kakini kwenye maisha Amani ya Nafsi ni bora kuliko chochote.
Magufuli alikuwa anapenda kwenda kwake CHATO mara kibao ingawa angeweza kuishi Osterbay, Ikulu.
Prod Mwandosya kaamua kukaa kwake huko Mbeya ingawa anaweza kuishi Masaki.
Jambo la msingi ni kuishi sehemu inayokupa Amani.
Na watu wengine pia wanapenda kuishi na watu wanaofahamiana nao ( kijamaa ) maana wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha, siyo kama Osterbay kila mtu ndani ya geti zito lenye umeme.
Leo kina Akon wametafuta pesa US lakini wamerudi Senegal ambako wanaheshimika zaidi.
🤣🤣Umenikumbusha story ya demu wa Uswahilini aliyeenda ushuani akasononeka kwa kuwa mitaa iko kimya sana, hakuna ngoma, hakuna kusutana.
🤣Mimi nakumbuka wakati niko O-level mwanzoni nilikuwa nakaa na masela, msosi wa kugombania fujo nyingiii.
Sasa, kuna Mkuu mmoja wa Magereza akapenda sana nikaishi kwake: Kwanza kuna kuku wa mayai, mayai kila muda, baiskeli za gia kibao nikapewa za kuendea shule.
Lakini imagine, nilikuwa sina amani moyoni just from within ( for no reason) kabisa ikabidi nirudi kwa masela🤣
Sahihi kabisa Mkuu.Kawaida ya binadamu tuna hulka ya kutamani tusichokuwa nacho.
Umasikini ni kitu kibaya sana kakini kwenye maisha Amani ya Nafsi ni bora kuliko chochote.
Magufuli alikuwa anapenda kwenda kwake CHATO mara kibao ingawa angeweza kuishi Osterbay, Ikulu.
Prod Mwandosya kaamua kukaa kwake huko Mbeya ingawa anaweza kuishi Masaki.
Jambo la msingi ni kuishi sehemu inayokupa Amani.
Na watu wengine pia wanapenda kuishi na watu wanaofahamiana nao ( kijamaa ) maana wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha, siyo kama Osterbay kila mtu ndani ya geti zito lenye umeme.
Leo kina Akon wametafuta pesa US lakini wamerudi Senegal ambako wanaheshimika zaidi.
fear
Kwa hiyo matajiri hawaridhiki?!!Hahaha uliza wewe mkuu..hahaha hua nacheka sana aisee ukikutana na waliokata tamaa ya maisha au walioamua kua maskini ukikuta wanachoongea unaweza kuaga haraka na kuondoka kwa kasi, mtu anachamba na makaratasi anasema ameridhika na maisha, mtu mtoto wake kafa sababu alikosa shilingi elfu 10 ya kununua dawa anasema karidhika na maisha ya kifukara kwamba anashukuru kwa kila jambo, na ukikuta ni wamekaa kinyonge na nyimbo ni za dini za kulilia mateso shida, majonzi, machozi, n.k
kule mbezi kwa zena kuna gari za kawaida kila aina bwana huyo asitutishe [emoji2][emoji2]Ist ipoo kwenye izo gariView attachment 1815343
We acha tu nilijifkiria sana,maana nikaona yaani madeni huko benki,kodi, hawa jamaa wako zao wanakula bata kivyao.👍👍🤣🤣