Hebu tumwagie huenda ikawa ni funzo kwetuNgoja niwape kisa kimoja
Tupe!Ngoja niwape kisa kimoja
Nimejaribu kuifikkria hiyo lkn inagoma. Kwasabb angeweza kumtuma hata ndugu yake aje kumlindia ama kuwa anaangalia mara moja mojaMimi Nina nyumba miaka 5 sijawahi kwenda na ilikamilika haishi mtu yeyote!!
Kwanini hujafikiria kuwa Mwenye nyumba yupo inje ya inchi,?
Ni Ile nyumba yako ya Majohe?!Mimi Nina nyumba miaka 5 sijawahi kwenda na ilikamilika haishi mtu yeyote!!
Kwanini hujafikiria kuwa Mwenye nyumba yupo inje ya inchi,? Umefikiria kuwa kafariki au yupo jela?
Hizi nyumba zione hivi! Hakuna kitu kinachotengenezwa kwa hela ndefu mpaka kukamilika kama nyumba! Ubora na mwonekano wa nyumba na mahali ilipo ndo thamani ya hela iliyotumika kuijenga.Utashangaa kuna watu wanaishi humo ila wewe huwaoni. Jichanganye
Ni kweli kabisa mkuuHizi nyumba zione hivi! Hakuna kitu kinachotengenezwa kwa hela ndefu mpaka kukamilika kama nyumba! Ubora na mwonekano wa nyumba na mahali ilipo ndo thamani ya hela iliyotumika kuijenga! Kwasababu hiyo nyumba haiwezi kukaa tupu! Kama sio watu wanaishi, basi ziko roho zinaishi mule! Mashetani nayo yanataka kuishi kwenye nyumba nzuri! Roho iliyokuwa nyuma ya upatikanaji wa hela na ujenzi wa hiyo nyumba ndo zinaishi mule! Jichanganye uingie uone mziki wake!