Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Ulitoa hongo wewe si bure, hawawezi kukufanyia kirahisi rahisi hivyo.
 
U know what nilishaona watu wako nje ya nchi wamejenga nyumba zao hapa Tanzania na hawajawashirikisha ndugu zao na hawataki wajue maana ndugu zao walishawatapeli sana ..so mtu anaamini mafundi au mtu baki ikitokea huyu mtu akafariki huko hiyo mali inaweza kosa mwenyewe...yapo kabisa haya sishangai....au mtu amejenga for suprise au siri kwa familia yake mara paa amefariki...

Pia mitaa hapa Dar kuna nyumba majirani wanajua kabisa mtu anayeishi alipewa alinde then huyo aliyejenga hajaonekana miaka mingi sana na inasemekana labda alishafariki au mtu aliyepewa alinde alishafanya ushirikina asije kabisa...
 
Mnamtisha nae aende na roho wa Mungu atafanikisha
 
Mkuu kwa kuwa sasa ishakuwa mkubwa nakushauri jitwalie hiyo nyumba na kiwanja chake
 
mmh tupe ubuyu bhana ata na id fake kama masai dada , sasa ilikuwaje the bold akamwaga manyanga kwa cheupe wake toto laini Nifah na sasa hivi nani anamiliki jimbo au lipo wazi?
Ungeanza kwa kuuliza kistaarabu ningekujibu vizuri tu, ila kwakuwa ulishavuruga subiri mpaka niwawekee bonge la thread mtajua yote.

Ila, mpira umerudi kwa kipa na kipa hana masihara kaamua kulinda goli lake hafanyi kosa tena.
 
Maeneo ya Mabwepande, Bunju mpk Bagamoyo huko unauziwa kiwanja halafu ukihurumiwa sana unarogwa kabla ya kujenga. Wakitaka kukukomoa unarogwa baada ya kuwa umejenga.
 
Naona ka waongelea majumba ya mbweni dar es salaam
Hayo majumba ya mbweni huku uswahilini kwetu tunajidanganya kwamba ni ya TISS. Eti wanaoikosoa serikali wakitekwa ndiyo hupelekwa humo kuteswa mpk kufa.
 
Ungeanza kwa kuuliza kistaarabu ningekujibu vizuri tu, ila kwakuwa ulishavuruga subiri mpaka niwawekee bonge la thread mtajua yote.

Ila, mpira umerudi kwa kipa na kipa hana masihara kaamua kulinda goli lake hafanyi kosa tena.
mie nilikuwa nachangamsha genge tuu,Hongera mwayaa basi mtoto wa mama mkwee ndo afanye kuoa sasa tena nyie muslim lakini mpaka leo bado mpo kwenye uchumba sugu
 

3. Lishakuwa Pango la Wachawi, hukosi Popo Humo [emoji1783]
 
Hakikisha Una Kadi ya Chama
 
Sio wazee wa kibongo wanaopenda K za mabaamedi
 
Ungeanza kwa kuuliza kistaarabu ningekujibu vizuri tu, ila kwakuwa ulishavuruga subiri mpaka niwawekee bonge la thread mtajua yote.

Ila, mpira umerudi kwa kipa na kipa hana masihara kaamua kulinda goli lake hafanyi kosa tena.
Lakini jamaa mzigo si kala sana tu?
 
Yule mwanaume aliyekutia mimba akakukimbia vp mmesharudiana nae.?
 
Mkuu watu wanakufa Kila siku,na kama ujuavyo waafrica wengi asset zetu hufanya Siri Ili kuepuka kupigwa na wake au kulogwa na ndugu,so Kuna majumba,na fedha kibao zimetapakaa,mitaa nliyohamia Kuna mjengo naulia taiming Toka nifike hapa sijawahi ona hata mtu anafyeka nyasi,so Hamia Anza maisha mkuu,Bahati mbaya akija utamwambia unamlindia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…