Hivi yupo?!long time no see
Huu utakuwa siyo uwoga wa kuitumia fursa? Usemi usemao "uwoga wako ndiyo umasikini wako" usije ukatimia kupitia mm.Vitu vya watu achana navyo, jijibidishe na wewe umiliki vya kwako
Hao aridhi ni wa Wapi Wakristo hivyo.?Kwa nyumba sijui ipoje ila kwa kiwanja afadhali
Mi nilijipatia kiwanja kwa namna hiyo
Kilikuwa ubavuni kwangu na mwenyewe hakuwahi kuonekana
Nikaenda ardhi nikawaeleza wakaniambia kasafishe kwanza ukiona kimya weka msingi tulia
Nilifanya hivyo na hakutokea mtu lakini palikuwa ma tofali 12 pale chini
Baada ya mwaka nikaenda ardhi nikawaeleza wakanipa offer/hati na hadi leo napamiliki
Kwa hiyo auze tu mkuu au sioWatu wameuza hadi mapori yaliyohifadhiwa na serikali sembuse nyumba?
Nyumba nying kama hzo huwa n kwa ajil ya kufugia majin au Misukule.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Kwa wanawake hawa wa leo hii hata mimi nikijipata siwezi kumuonesha mali zangu zote. Ataijua nyumba tunayoishi labda na kazini tu. Lakini lazima nifanye utaratibu angalao ndugu mmoja ninaemuamini ajueKuna baadhi ya wanaume wapumbavu wanaweza jenga nyumba nunua mashamba na kutowashirika wake wazao wakiofia kugawana ikitokea mazozo wengine tunao wafanya biashara ya mazao wanaweka mipunga ya mamilioni kwenye magodauni kwa siri hata miaka 3 wengi wao wakifa mali zina potea bule,kama kuliko kuficha mali zako bora mwanake kama umuamini bora upige chini kuliko kufa hela zikapotelea kwe simu mamilioni kisha mke wangu akijua namba ya siri atanibia upumbavu huo
bongo tunapenda ganda la ndizi.kwahyo unataka utelezee hadi mjengo,we ingia tu unaeza kuta ni the magic house ukatolewa sadaka kikatili mnoKuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Mkuu wapi uko na mimi nijimliikishe iyo moja nyingine.Nyumba za namna hiyo zipo nyingi mno hasa jijini Dar es salaam.
Mahali ninapoishi,kuna nyumba zimejengwa kwa mfuatano zikiwa 3,inasemekana Mzee anao watoto 3 aliamua kuwajengea hizo nyumba,mzee alifariki ila madogo wapo wanaishi nje ya nchi!
Walikuja kipindi fulani( Zaidi ya mika 10 iliyopita) wakaangalia zile nyumba na mahali zilipo wakasema hawazihitaji!.
Kuna Sheikh mmoja ameamua kujimegea moja anaishi na familia yake,zile nyingine 2 zinazidi kuota nyasi tu na nyoka kujazana huko ndani!.
Nyumba ni nzuri na naza kisasa mno!,lakini madogo walisema hawawezi kuja kuishi Tanzania.
Sasa wenyeji kila mmoja anaogopa na kusema wanaweza kushitakiwa,lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu wa kukushitaki wala nini!.
Ngoja nivute muda,mwakani nasafisha moja naingia,mdogo mdogo hadi inakuwa yangu!
Maana kwa dalili zilizopo hakuna wa kuhoji zaidi ya kuendelea kuchakaa!,Siku watu wa Ardhi wakishituka zitakwenda na maji!.
Mwakani najimilikisha moja!
Wanwake saiv sio wadangaji tu wamekua mataperi piaMimi ubavuni kwangu kuna viwanja 2 double sijui vya mtu mmoja au la.
Tangu 2020 nianze kuja huku mara kwa mara na 2021 nilipohamia sijamwona mwenyewe.
Nalima mbogamboga na mihogo.
Nawaza sijui nipige ukuta kote au nitulie kwanza.
Wanadamu tuache ubinafsi, mali zako mtu hutaki hata kumeonyesha mke ukifa je!
Movie za wa wazungu na wahindi zimewaalibu akili.bongo tunapenda ganda la ndizi.kwahyo unataka utelezee hadi mjengo,we ingia tu unaeza kuta ni the magic house ukatolewa sadaka kikatili mno
Kama unaogopa vitisho unavyopewa na wadau humu ndani, nielekeze mimi iyo nyumba iko wapi nifanye jamboKuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Apige bei tu....watakuja Juana huko mbeleniKwa hiyo auze tu mkuu au sio
Baba ako ni mchawiMzee chukua tu hiyo nyumbaa mambo mengine yatajiset yenyewee..ila nakupa tahadhari usiingie hiyo nyumba kindezi ndezi nyumba ikikaa mda mrefu wadudu wabaya huishi..mzee wangu alijenga nyumba visiwani mafia bahati mbaya hatukuwahi ikaa kwa mda mrefu...kuna mda watu wakaja kuomba wakaishi mle ndanii kilichotokea hawakumaliza week wakaikimbia nyumba walikuwa wanachapwa bakora hatariii na watu wasioonekana.ikabidi twende kufanya dua...mpaka sasa nyumba kuna watu wanaishi...pia nilishawahi okota kadi ya gari og kabisa so niliokota gari[emoji16][emoji16][emoji16] kuna uzi niliuleta humu mwenye vile vitu nilimpata.