Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

Wewe kaa usubiri ifike miaka kumi na mbili halafu ujitwalie, akija unamuambia kua ni yakwako kwasababu muda wote huo hakujitokeza, under adverse possesion unaweza kuimiliki kama miaka kumi na mbili imepita na umekua ukiishi hapo bila ya mwenye eneo kuja kulidai.
 
Kwa nyumba sijui ipoje ila kwa kiwanja afadhali
Mi nilijipatia kiwanja kwa namna hiyo
Kilikuwa ubavuni kwangu na mwenyewe hakuwahi kuonekana
Nikaenda ardhi nikawaeleza wakaniambia kasafishe kwanza ukiona kimya weka msingi tulia

Nilifanya hivyo na hakutokea mtu lakini palikuwa ma tofali 12 pale chini
Baada ya mwaka nikaenda ardhi nikawaeleza wakanipa offer/hati na hadi leo napamiliki
Hao aridhi ni wa Wapi Wakristo hivyo.?
 
Mzee chukua tu hiyo nyumbaa mambo mengine yatajiset yenyewee..ila nakupa tahadhari usiingie hiyo nyumba kindezi ndezi nyumba ikikaa mda mrefu wadudu wabaya huishi..mzee wangu alijenga nyumba visiwani mafia bahati mbaya hatukuwahi ikaa kwa mda mrefu...kuna mda watu wakaja kuomba wakaishi mle ndanii kilichotokea hawakumaliza week wakaikimbia nyumba walikuwa wanachapwa bakora hatariii na watu wasioonekana.ikabidi twende kufanya dua...mpaka sasa nyumba kuna watu wanaishi...pia nilishawahi okota kadi ya gari og kabisa so niliokota gari[emoji16][emoji16][emoji16] kuna uzi niliuleta humu mwenye vile vitu nilimpata.
 
Kuna nadharia mbili hapa.

1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.

2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.

Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Nyumba nying kama hzo huwa n kwa ajil ya kufugia majin au Misukule.
Sasa chukua ww ukaone kasheshe Ucku.
 
Kuna baadhi ya wanaume wapumbavu wanaweza jenga nyumba nunua mashamba na kutowashirika wake wazao wakiofia kugawana ikitokea mazozo wengine tunao wafanya biashara ya mazao wanaweka mipunga ya mamilioni kwenye magodauni kwa siri hata miaka 3 wengi wao wakifa mali zina potea bule,kama kuliko kuficha mali zako bora mwanake kama umuamini bora upige chini kuliko kufa hela zikapotelea kwe simu mamilioni kisha mke wangu akijua namba ya siri atanibia upumbavu huo
Kwa wanawake hawa wa leo hii hata mimi nikijipata siwezi kumuonesha mali zangu zote. Ataijua nyumba tunayoishi labda na kazini tu. Lakini lazima nifanye utaratibu angalao ndugu mmoja ninaemuamini ajue
 
Kuna nadharia mbili hapa.

1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.

2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.

Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
bongo tunapenda ganda la ndizi.kwahyo unataka utelezee hadi mjengo,we ingia tu unaeza kuta ni the magic house ukatolewa sadaka kikatili mno
 
Nyumba za namna hiyo zipo nyingi mno hasa jijini Dar es salaam.

Mahali ninapoishi,kuna nyumba zimejengwa kwa mfuatano zikiwa 3,inasemekana Mzee anao watoto 3 aliamua kuwajengea hizo nyumba,mzee alifariki ila madogo wapo wanaishi nje ya nchi!

Walikuja kipindi fulani( Zaidi ya mika 10 iliyopita) wakaangalia zile nyumba na mahali zilipo wakasema hawazihitaji!.

Kuna Sheikh mmoja ameamua kujimegea moja anaishi na familia yake,zile nyingine 2 zinazidi kuota nyasi tu na nyoka kujazana huko ndani!.

Nyumba ni nzuri na naza kisasa mno!,lakini madogo walisema hawawezi kuja kuishi Tanzania.

Sasa wenyeji kila mmoja anaogopa na kusema wanaweza kushitakiwa,lakini ukweli ni kwamba hakuna mtu wa kukushitaki wala nini!.

Ngoja nivute muda,mwakani nasafisha moja naingia,mdogo mdogo hadi inakuwa yangu!

Maana kwa dalili zilizopo hakuna wa kuhoji zaidi ya kuendelea kuchakaa!,Siku watu wa Ardhi wakishituka zitakwenda na maji!.

Mwakani najimilikisha moja!
Mkuu wapi uko na mimi nijimliikishe iyo moja nyingine.
 
Mimi ubavuni kwangu kuna viwanja 2 double sijui vya mtu mmoja au la.
Tangu 2020 nianze kuja huku mara kwa mara na 2021 nilipohamia sijamwona mwenyewe.
Nalima mbogamboga na mihogo.
Nawaza sijui nipige ukuta kote au nitulie kwanza.
Wanadamu tuache ubinafsi, mali zako mtu hutaki hata kumeonyesha mke ukifa je!
Wanwake saiv sio wadangaji tu wamekua mataperi pia
 
Kuna nadharia mbili hapa.

1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.

2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.

Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Kama unaogopa vitisho unavyopewa na wadau humu ndani, nielekeze mimi iyo nyumba iko wapi nifanye jambo
 
Mzee chukua tu hiyo nyumbaa mambo mengine yatajiset yenyewee..ila nakupa tahadhari usiingie hiyo nyumba kindezi ndezi nyumba ikikaa mda mrefu wadudu wabaya huishi..mzee wangu alijenga nyumba visiwani mafia bahati mbaya hatukuwahi ikaa kwa mda mrefu...kuna mda watu wakaja kuomba wakaishi mle ndanii kilichotokea hawakumaliza week wakaikimbia nyumba walikuwa wanachapwa bakora hatariii na watu wasioonekana.ikabidi twende kufanya dua...mpaka sasa nyumba kuna watu wanaishi...pia nilishawahi okota kadi ya gari og kabisa so niliokota gari[emoji16][emoji16][emoji16] kuna uzi niliuleta humu mwenye vile vitu nilimpata.
Baba ako ni mchawi
 
Back
Top Bottom