Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo Chadema siyo chama cha wachaga tena?Chadema ni laana
Yaan mnapenda vya Bure sana qumamake
mbona kuna mtu alishaokota nyumba mbweni na alileta uzi wake humuKwa hiyo siku hizi tumeanza kuokota hadi nyumba?Saaafiiii!Si muda naamini tutaanza kuokota magari na vichwa vya treni upya.InshaAllah!π
Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Ila JF jamani looohna jamaa kagoma kabisa kuoa,bibie kaamua kujirudia zake tuu jf
Dunia hii ina Sayansi kubwa.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
Pesa za mafisadi hizo.....hazina mwenyeweNimejaribu kuifikkria hiyo lkn inagoma. Kwasabb angeweza kumtuma hata ndugu yake aje kumlindia ama kuwa anaangalia mara moja moja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Mkuu we mbea sanana jamaa kagoma kabisa kuoa,bibie kaamua kujirudia zake tuu jf
Ukiingia tu ndani ya hiyo nyumba, unageuka kuwa Msukule. Shauri yako.Ipo siku wenye nyumba watakuja tu, usiingie hovyo waweza kupata kesi ya trespassing.
Endelea kubaki hivyohivyo kizani hadi niseme mwenyewe, kwa sasa tengenezeni tu script zenu.na jamaa kagoma kabisa kuoa,bibie kaamua kujirudia zake tuu jf
Ngoja leo nikufurahishe kidogo coz you are a huge fan of mine.π Sahivi unawaza ndoa ndoa tu!
Haya nijibu na swali langu niyeye yuleyule au...??Ngoja leo nikufurahishe kidogo coz you are a huge fan of mine.
Napenda sababu at last nimerudi kwa mwanaume ninayempenda, mwanaume anayenifanya niiwaze ndoa.
Kwingine nilikataa.