Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWewe hamia yatakuwa ndio mahari yako hayo, mwenyewe atakaporudi anakuoa kiroho safi.
Ukipenda niite kaka muoga. Ndala hapa nafunga kamba za nailoni,wakitokea nikaona ni ugomvi, ntakimbilia kwa Demi . Nampenda ila sio sanaMkuu huo ugomvi kaka, povu lake utaliweza wakija
Niseme haunipigi?Nini tena....
Ukikutwa na mwenye mali, unatakiwa ufanye marekebisho na kodi ya miaka yote apateMtoto halali na hela kuna madhara gani endapo nitajitwalia hii nyumba?
Yaani hivyo tu ukamiliki ardhi?Kwa nyumba sijui ipoje ila kwa kiwanja afadhali
Mi nilijipatia kiwanja kwa namna hiyo
Kilikuwa ubavuni kwangu na mwenyewe hakuwahi kuonekana
Nikaenda ardhi nikawaeleza wakaniambia kasafishe kwanza ukiona kimya weka msingi tulia
Nilifanya hivyo na hakutokea mtu lakini palikuwa ma tofali 12 pale chini
Baada ya mwaka nikaenda ardhi nikawaeleza wakanipa offer/hati na hadi leo napamiliki
Nenda uoneBibi yangu anaheshimika Sumbawanga
Kumbuka Manara ni diwani mstaafu wa CCM pia ni chawa pro max.Yaan nimsikilize manara?
Nitakua nimekosa akili kiasi hicho?
Chadema ni laana lissu na kalio lake Lile vp au lina makovu🤣
Safi kabisa ila leo hawaji sijui wameambianaUkipenda niite kaka muoga. Ndala hapa nafunga kamba za nailoni,wakitokea nikaona ni ugomvi, ntakimbilia kwa Demi . Nampenda ila sio sana
Duuh!Ukikutwa na mwenye mali, unatakiwa ufanye marekebisho na kodi ya miaka yote apate
Sijajua ni nani nimesikia akilia anamwambia mtu eti achukue yote. Nikajiuliza anauza nini huyu? Nikakumbuka wamepita na vidumu vimejaa juisi. Kidogo tu,eti unaniuaaaaa. Mi nikaona ikiwa kesi ntahusishwa nikakimbiaSafi kabisa ila leo hawaji sijui wameambiana
Acha ufala pangisha hiyo nyumba
Fanya nilivyokuambia.Nyumba iko viunga (outskirts) vya Dar. Location kamili sitaitaja, wajanja wengi humu
Nenda wewe ardhi,zuga Kama mnunuzi, utapewa details zote Kisha anzia hapo.Hii ya kupiga bei wajanja wanasema, mnunuzi anaweza kwenda ardhi halafu akabainika mmiliki siyo mm. Nitaumbuka.
Unajifunza utapeli! Acha hizo, tafuta hela kijana wangu! Acha tamaa.Kuna nadharia mbili hapa.
1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii.
2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au zaidi jela.
Je, nijitwale hii nyumba? Vipi kama nadharia ya 2 ndiyo sahihi? Akitoka jela na kurudi uraiani itakuwaje? Ingawa kuna usemi wa kiswahili unanipa moyo "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali mpumbavu".
na jamaa kagoma kabisa kuoa,bibie kaamua kujirudia zake tuu jf😂 Sahivi unawaza ndoa ndoa tu!