Hapa lazima Marioo kaona utupu wa mkwe

Waacheni watu waishi wapendavyo
Dunia hawajaiumba wao siyo ya kwao, wakatengeneze ya kwao ndiyo waishi wapendavyo. Uhuni. Uhayawani na ushenzi ukizidi matokeo yake siasa kali zitaibuka mwisho mnyimwe uhuru kama Afghanistan, Iran. Saudi Arabia nk nk mmezidi sasa mmevuka mipaka mavazi ya nusu uchi telee, uhuru mnautumia vibaya.
 
Neno mkwe(mother in law) mchumba (fiancee)shemeji (brother/sister in law) yanatumiwa vibaya(abused) huwezi kumuhonga kahaba prostitute anayedanga halafu unamuita mchumba! Na mama wa kahaba unamuita mkwe, taasisi ya ndoa iheshimiwe na watu wote, siyo kila mahusiano yapewe hadhi sawa na ndoa hadi kuitana, mkwe, shemeji,mchumba etc etc mengi ni biashara tu ya ukahaba na zinaa tu.
 
[emoji120]asant mkuu kwa kutuweka sawa kidgo
 
Kabx mkuu naunga mkono[emoji1666]
 
Wewe ukitaka tembea na bikini hakuna atakae kuuliza
 
hamia Taliban kama unakwazika!

Dada, mke au watoto wako wakiona hii comments watastaajabu sana na kama tabia zao za ajabu ajabu maana yake watachekelea at end of the day watakudharau na kukuona huna msimamo wala si mwanaume haswaa, jitathmini upya!
 
Dada, mke au watoto wako wakiona hii comments watastaajabu sana na kama tabia zao za ajabu ajabu maana yake watachekelea at end of the day watakudharau na kukuona huna msimamo wala si mwanaume haswaa, jitathmini upya!
Acha kuteseka na vitu vya kawaida arifu this is Afrika huko Kwa Zulu Natal warembo wanadunda
Nyonyo nje achana na Bush Man WA Kalahari na hadzabe wa bongo land
Miaka ya mwanzoni tu hapo 1960's watu walidunda na kaniki ,
Leo Hao kina Kajalas & CO ambao ni mental case kushow vyupi tu
Unataka tuishi kama Talibani?

Namna gani bwana Ostadh!
 
Biashara matangazo. Utupu ni vile vitobo vyenyewe. Hiyo minyama ya nyuma sio utupu.
 
hamia Taliban kama unakwazika!

Unajisikiaje dada yako, mama yako au mtoto wako akijianika mitandaoni! Isitoshe akiwa uchi! Hao wataleban unawasema vibaya lakini wanajitambua, wanajua kufanya hivyo ni kinyume na uislamu, waabheja sana nkoi
 
Sasa si utembee uchi tu
 
Sasa si utembee uchi tu
Kwanini ? Hio sio kawaida kwa maisha ya sasa na tamaduni za sasa ila usije kuniambia kwamba maadili ya Muafrika au sijui Dini ndio zinakataza au kwamba sasa hivi watu wamepotea wakati Bibi na Babu zako wangemuona huyu wangesema ni over-dressed....

To each his/her own..., na lazima uone huyo kazi yake na amevaa hivyo akiwa wapi..., by the way na huyo ametembea mtaani akiwa hivyo ?
 
Hizi shape kama milima ya uluguru Yani haieleweki mara bonde mara mlima , unapohisi ni tambarare unaona shimo sehemu ya shimo unakuta ufa Yani wowowo ina sura ya nchi🤔
 
Wewe ukitaka tembea na bikini hakuna atakae kuuliza
Sisi tutakuuliza. Dunia haina uhuru wa namna hiyo. Kama unabisha vaa ile bikini yako unayoipenda uliyokuja nayo Arumeru na ile uliyoiacha wazi jana hadi kusababisha mpate ajali ya bodaboda uone kama hatutakuvua. Jana ilikatika ndio maana mipaka ajali ya boda😄😆😂🤣😉😩
 


Sijaona utupu hapo, nimeona structure ya tako, na kila siku hizo structure mimi naziona barabarani, Hospital, Makanisani, labda msikitini tu ndo sijaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…