Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Fanya kushea, namlaga kwa macho tu yule manzjEee mkuu ipo tena alijipost mwenyw tiktok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya kushea, namlaga kwa macho tu yule manzjEee mkuu ipo tena alijipost mwenyw tiktok
Dunia hawajaiumba wao siyo ya kwao, wakatengeneze ya kwao ndiyo waishi wapendavyo. Uhuni. Uhayawani na ushenzi ukizidi matokeo yake siasa kali zitaibuka mwisho mnyimwe uhuru kama Afghanistan, Iran. Saudi Arabia nk nk mmezidi sasa mmevuka mipaka mavazi ya nusu uchi telee, uhuru mnautumia vibaya.Waacheni watu waishi wapendavyo
[emoji120]asant mkuu kwa kutuweka sawa kidgoNeno mkwe(mother in law) mchumba (fiancee)shemeji (brother/sister in law) yanatumiwa vibaya(abused) huwezi kumuhonga kahaba prostitute anayedanga halafu unamuita mchumba! Na mama wa kahaba unamuita mkwe, taasisi ya ndoa iheshimiwe na watu wote, siyo kila mahusiano yapewe hadhi sawa na ndoa hadi kuitana, mkwe, shemeji,mchumba etc etc mengi ni biashara tu ya ukahaba na zinaa tu.
Kabx mkuu naunga mkono[emoji1666]Dunia hawajaiumba wao siyo ya kwao, wakatengeneze ya kwao ndiyo waishi wapendavyo. Uhuni. Uhayawani na ushenzi ukizidi matokeo yake siasa kali zitaibuka mwisho mnyimwe uhuru kama Afghanistan, Iran. Saudi Arabia nk nk mmezidi sasa mmevuka mipaka mavazi ya nusu uchi telee, uhuru mnautumia vibaya.
Wewe ukitaka tembea na bikini hakuna atakae kuulizaDunia hawajaiumba wao siyo ya kwao, wakatengeneze ya kwao ndiyo waishi wapendavyo. Uhuni. Uhayawani na ushenzi ukizidi matokeo yake siasa kali zitaibuka mwisho mnyimwe uhuru kama Afghanistan, Iran. Saudi Arabia nk nk mmezidi sasa mmevuka mipaka mavazi ya nusu uchi telee, uhuru mnautumia vibaya.
hamia Taliban kama unakwazika!
Ikumbukwe Zenji ile sheria ya mwanaume kusuka imeondolewa pia na yule afande kaachiwa[emoji16][emoji1666]
Acha kuteseka na vitu vya kawaida arifu this is Afrika huko Kwa Zulu Natal warembo wanadundaDada, mke au watoto wako wakiona hii comments watastaajabu sana na kama tabia zao za ajabu ajabu maana yake watachekelea at end of the day watakudharau na kukuona huna msimamo wala si mwanaume haswaa, jitathmini upya!
Biashara matangazo. Utupu ni vile vitobo vyenyewe. Hiyo minyama ya nyuma sio utupu.Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)?
[emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda watu hususani maarufu wafikiri kuhusu maisha ya kesho na vizazi vijavyo+teknolojia.
Upakiaji wa picha au picha mjongeo zenye maudhui dharimu zaweza kuathiri watoto wetu,ndugu na jamaa kama hatutazingatia maudhui sahihi ya kuchapisha.
Mfano,Crish mtoto wa Irene Uwoya na watoto wa Tessy,Lulu Diva,Umberruty nk.Wanajiskiaje wanapoona tupu zao tena wakiingiliwa mtandaoni?View attachment 2693351
hamia Taliban kama unakwazika!
Uko sahihiMasomo bila nyeto hayaendi kaka mana nyeto kwangu ni kama ugali kutwa mara tatu.
Sasa si utembee uchi tuHuyo mzazi kazi yake ni nini ?
Sio mtu anakuwa model anatangaza Lingerie unataka avae baibui !!!!
To each their own....
View attachment 2693373
Hata leo hapa wakija watu wa Imani nitawapinga kwa kuwauliza kwenye maandiko yao kama Adam; Hawa; Eva; Chausiku (no matter you wanna call them kama walivaa nguo)
By the way nguo zingekuwa part ya binadamu basi binadamu wangezaliwa na suti / shuka
Kwanini ? Hio sio kawaida kwa maisha ya sasa na tamaduni za sasa ila usije kuniambia kwamba maadili ya Muafrika au sijui Dini ndio zinakataza au kwamba sasa hivi watu wamepotea wakati Bibi na Babu zako wangemuona huyu wangesema ni over-dressed....Sasa si utembee uchi tu
Sisi tutakuuliza. Dunia haina uhuru wa namna hiyo. Kama unabisha vaa ile bikini yako unayoipenda uliyokuja nayo Arumeru na ile uliyoiacha wazi jana hadi kusababisha mpate ajali ya bodaboda uone kama hatutakuvua. Jana ilikatika ndio maana mipaka ajali ya boda😄😆😂🤣😉😩Wewe ukitaka tembea na bikini hakuna atakae kuuliza
Hivi Marioo na Paula mwenyewe hujiskiaje wanapokuwa wakiona utupu wa mzazi (mkwe)?
[emoji116]Hii ni picha mpya aliyochapisha muigizaji Kajala Masanja au mama mzazi wa Paula,Nadhani ifike muda watu hususani maarufu wafikiri kuhusu maisha ya kesho na vizazi vijavyo+teknolojia.
Upakiaji wa picha au picha mjongeo zenye maudhui dharimu zaweza kuathiri watoto wetu,ndugu na jamaa kama hatutazingatia maudhui sahihi ya kuchapisha.
Mfano,Crish mtoto wa Irene Uwoya na watoto wa Tessy,Lulu Diva,Umberruty nk.Wanajiskiaje wanapoona tupu zao tena wakiingiliwa mtandaoni?View attachment 2693351