Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Kinachokushangaza ni kipi? Kula ugali alfajiri au kula nyama alfajiri?Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
Hata hapa tarimeAisee

Ngoja niende green city sasa 👌Aisee

Tangia ule asubuhi hujala mpaka sasaAisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
Wanamwaga si mchezo, nikishindwa kutofautisha na wa Bukoba.Mbeya Grossary ni kila kona,afu dada zetu wa huku sio wachoyo wala..labda uwe mjuaji tu ndo watakunyima
Maeneo gani mkuu,Hata hapa tarime
Ukatengeneza na "heng'iova" nyingine hapohapo..!!Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna heavy na nyama choma,tukashushia na nyagi,mpaka sasa niko fully yani
Hapa stendiMaeneo gani mkuu,
Vyote vinashangazaKinachokushangaza ni kipi? Kula ugali alfajiri au kula nyama alfajiri?
Mkuu mambo ya gulioni nilijua ni bukoba tuWanamwaga si mchezo, nikishindwa kutofautisha na wa Bukoba.
Vipi mishangazi ya huko?Sijawahi kuona mkazi wa mbeya mwembamba Tena Hana mashavu dodo!