Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

Ugali umegoma kupigwa PICHA.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mbeya wapo mbele ya muda sana aisee.
Nimewahi ishi Isanga, kitimoto inapikwa alfajiri na watu kibao wanatoa rock. 😁

Ndizi kibao.
 
Mkuu, usiongee kwa nguvu namna hii utawaharibia biashara wenzako....ujuwe Mama Samia anasoma haya, asije kupeleka vijana wake wa Kizimkaz kule kukamata watu wanaokula migahawani asubuhi na mchana. Poleni in advance.
 
MB City never sleeps
 
Mbeya ni balaa halafu vyakula vyao bei poa sana huwezi amini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…