Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi
1. Wajumbe kuhakikiwa live
2. Kura kupigwa live
3. Matokeo kuhesabiwa live
4. Mshindi kutangazwa live
5. Mshindi kuhutubia live
6. Mshindwa kuhutubia live
Haya yote watashudia wanachama wa chadema wakiwa majumbani mwao.

TLS kupitia mwambukusi ataalikwa.
Mdude ataona live
Madeleka ataoana
Tunategemea Maria atakuwa online muda wote


Lissu alitegemea hayo mambo yatafanywa ukumbini bila nje ya ukumbi yaani dunia kushuhudia ili maria space, Dr slaa, na baadhi ya wanaoishi nje wawahadae wanachadema kwamba lissu kaibiwa kura ili apate support.
Lissu hataibiiwa kura 1, lkn asubiri kimbunga cha kumkataa kutoka wajumbe.
Kwanini wamkatae.
Akipewa chama atavuruga legacy ya kila kiongozi tofauti na Mbowe. Lini na wapi Mbowe kavuja legacy ya Mtei, Bob makani na wengine anapotoa hutuba zake?
Lssu kabla hajapata, anaitetea legacy pekee ya msigwa lkn zote anaonesha atazivuruga. Mbowe anamwita fisadi na hata Bob makani na mtei inaonekana atawasakama jambo litaivuruga kabisa chadema na kufurahisha cloud house

Kilichobaki lissu atakuja na hoja ya kwamba wapiga kura wamehongwa huko huko kabla ya ukumbini pesa za Abdullah jambo litakuwa halina nguvu mtu mwenye akili kuamini hilo. Na akiamua kuondoka ataondoka na team manager wake, akibaki chadema awe mwenyekiti wa Tawi lake anapoishi
Lissu hakubaliki kuwa mwenyekiti Chadema
 
Hamlali Timu Mbowe
 
Unajidhalilisha wewe na watoto wako.
Wapi Lissu alisema hataki uchaguzi wa live?.
 
Usiseme atasema hivi au vile,usimlishe maneno,yeyote atakae shinda au kushindwa,ye binafsi ndo atajua cha kusema.
 
Mbowe kiboko anataka kufondoka kwa Lisu hadi wafadhili.wake akina Amsterdam na wabelgiji ambao huwa anawadanganya kuwa teye ndie anaongoza kupendeka ndani ya Chadema wamuone akishindwa live mbele.ya macho yao na copy kuwekwa ya k8dumu kwenye mitandao ikiwemo Youtube tiktok nk

Hongera Mbowe
 
...Kama hayo yatafanyika ni jambo jema, ni vizuri demokrasia ianzie ndani badala ya kupiga makelele.Wajumbe wataamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…