Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

Mkuu hii iko wazi kabisa, yaani hao wajumbe watakuwa ni watu wajingaa sana wakimchagua tena mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti.
Nyakati hizi ni automatic zinamuhitaji lissu kuwa mwenyekiti.
Wajumbe kama wanasikiliza maoni ya watu watuletee tundu lissu, mbowe kachokwa huku mtaani
 
Dayaspora tumejiandaa kuharibu zoezi zima kama ni yeye asiposhinda🐼
 
Huu ni ujinga uliochanganyikana na werevu. Uchaguzi kuwa wazi vile ni vema ila usitegemee lissu atashindwa. Mbowe akishinda si ajabu ila mbowe akishinda ni ajabu! Chadema inahitaji mwenyekiti mpya na si mbowe
 
Safi mwenyekiti Mbowe adumuuuu!
 

Vipi kuhusu wagombea kutokea kwenye mdahalo live?



Au mwamba domo zege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…