Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

😂😂Jana Kuna kigogo mzito ccm anasema siku mbowe akishinda uwenyekiti chadema watakula kuku na kunywa na kukesha juu, Maana wanasema mbowe anazungumzika
Hizo ni porojo zenu zapropaganda dhidi ya mbowe.wenzenu wala hawawazi nani awe mwenyekiti kwasasa bali wao wanawaza mbali zaidi namna ya kuitingisha katiba ya cdm kwa upande wa ukomo wa mwenyekiti ili uko badae waweze kuweka mtu wao wanayemtaka.nyie mnawaza hapa karibu ndo maana mnabebeshwa propaganda bila kutafakari..
 
Hao viongozi wana legacy gan ya maana??
 
Mbowe pia amesema Yuko tayari kupokea matokeo ya kushindwa,

Ni vyema kama ameanza mapema kujiandaa kisaikolojia.
 
Wewe ndo unasema lisu hakubaliki.. lakini wanazengo tunasema anakubalika... pia tunasubiri tuone kama kweli utakua huru na haki.. maana kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti
 
Hii sasa ndio nongwa kwa wale wasiokuwa wanafahamu.

Nimefurahi sana kuwa tutaona live.
 
Mbowe ni kibaraka hakika
 
Lisu atashindwa vibaya sana
 
Hivi wakina mdee and the company,nao watapiga kura?
 
Naona umeongeza na ya kwako tele, Usifurahie kama Lissu akishindwa, Mbowe akishinda maana yake chadema kama chama cha upinzani kwisha habari yake tena
 
Naona umeongeza na ya kwako tele, Usifurahie kama Lissu akishindwa, Mbowe akishinda maana yake chadema kama chama cha upinzani kwisha habari yake tena
Hio kwa mtazamo wako na mtazamo wa mwana ccm Dr slaa na msigwa
 
Maji hayazuiwi kwa mkono. Chadema wakikaa kimya wakati kama huu , msaada utawajia watanganyika kutoka mahali pengine, nao wataokolewa ; lakini chadema itakufa,na jamaa ya baba yake chadema itaangamia. Ni nani ajuaye pengine Lissu anafanywa mwenyekiti kwa ajili ya wakati kama huu!
 
Lissu mwenyekiti ndio ataiua kabisa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…