Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

Mlivyo wajinga mnadhani akishindwa Lissu mnamkomoa nani, hivi kuna mjinga ataenda kupiga kura kwa chadema hiyo oktoba? Yaani mko tayari chama kife kisa Mbowe asalie? Hamna shida, tukutane oktoba
Kuna kijiwe kimoja jijini mbeya wadau walisikika wakisema wajumbe wakimrudisha mbowe October watajiju...wanasema miaka 20+ mtu yuleyule imetosha
 
Mkuu hii iko wazi kabisa, yaani hao wajumbe watakuwa ni watu wajingaa sana wakimchagua tena mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti.
Nyakati hizi ni automatic zinamuhitaji lissu kuwa mwenyekiti.
Wakituletea mbowe watapambana wenyewe October kumuuza
 
Usiponipigia kura wakati umekula pesa yangu, jiandae na wasiojulikana.
Biti lilishapigwa kwa wajumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…