Hapa Moze Iyobo umezingua kwa kumuita binadamu mwenzio nyani

Mwembe wenye dodo nzuri ndio hupigwa mawe mengi
 
Yaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.

Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
Siku zote anayetaka kukukasirisha anachagua kile unachokipenda haswa.

Usitukane wengine ili mtoto wako unayempenda na yeye asitukanwe.
 
Duuuuh hiki nikichambo cha 5G!

Mimi nikikuudhi Bora unitumie namba unayotumia tigo PESA Tumalizane!
 
Acheni ujinga nyie ndo wabaguzi wa wanyama. Mbona diamond anajiita simba? Kwan simba na nyani si wanyama wote au??
 
Angeitwa simba msingeandama lkn kafananishwa na nyani wote mnaandamana km wanawake wanadai haki zao.....nyani c nae ni mnyama kama wanyama wengne au ana unique gn unaomtofautisha na hawo wengne kama tembo simba and the rest
 
Yaan watoto hasa wadogo siyo po
Cookie angekuwa kama le mutuz ningesema alikuwa sawa.

Shilawadu zina wataalam wake mi nimevamia tu
Ila mama ake nae hazimo check alivyopanic
 
Sijawahi kusikia Hawa wasanii wakilalamika kutokana izi aka zao
Diamond--simba
Blue byser--simba
Dudu baya--mamba
Shetta--mamba

So mbona moze kumfananisha harmorapa na nyani imekuwa headline sana, so mnataka kunambia kuwa sokwe yeye hatakiwi kufananishwa na binadam au yeye cyo mnyama maana wasanii niliowataja apo juu sijawai sikia ata siku moja wakilaumu kufananishwa na hao wanyama
 
Eti kichwa kama yai la chemli haaahaa watu mna maneno sana
 
Dogo aende akafungue kesi mahakamani jambo baya kabisa la kumuita binadamu mwenzio nyani hawa wcb hawapendi kabisa kuona wasanii wengine wakitoka wanapenda wabaki wao tu
We we nae hamnazo sasa hapo WCB wanahusikaje kwa maoni ya MTU binafsi? Uyo iyobo wala sio muimbaji kwanza.
Acha Wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…