Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,
Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,
Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Niachane nae?Kapteni Moto, hapo shtuka kabla hujaangukiwa na kitu kizito kichwani mkuu
Niachane naeKapteni Moto, hapo shtuka kabla hujaangukiwa na kitu kizito kichwani mkuu
Huyu mwenzakeNdio yule ambae hana utelezi?
Yes na ndio hivyo inatakiwa usijiforce kwa mtu asieona umuhimu wakoAkikuchukulia kama sio wa muhimu kwake na wewe muweke wa akiba siku ukitaka mbususu unamwita, simple and clear kikubwa Tafuta mwingine official
Yes inaonyesha ana mtu mwingineHajatulia achana nae
Nilisinzia siku ya mkutano si unaona ilikua nightKwan hukuhudhuria Kwenye kikao Cha mwisho mkuu,mbona hayo mambo mwenyekiti aliongea Kwa msisitizo sana kuhusu wanawakeeView attachment 3232781
Kitakuwepo tenaa mwisho wa mwezi ,maeneo ndio yale Yale ,uje ukiwa ujalewa Ili usisinzie tenaa 😀Nilisinzia siku ya mkutano si unaona ilikua night
So did dhe win by leaving meIn the war of ego, the loser is the winner
Wewe mwanamke unafanya nini saiziMwanaume unakuja asubuhi yote hii kulilia HI?
Ukitaka mapenzi yadumu, jishushe na kujionesha unajali.Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,
Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,
Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna
Fanyeni hata mchana bro usiku nakua nimetoka kupiga nyeroKitakuwepo tenaa mwisho wa mwezi ,maeneo ndio yale Yale ,uje ukiwa ujalewa Ili usisinzie tenaa 😀