Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Habari,
Kuna mdada nilikua nae kwenye mahusiano ni kama kwa miezi tisa ikatokea tumegombana tukakaliana kimya kwa one month baada ya hapo nikaona turudiane ila amekua tafauti hataki kuanza kunisemesha hata "hi" tu, yani mpaka mimi nianze kumsemesha,
Wadau niambieni hapa napendwa kweli au ananipenda ila hataki kuonekana "low class", akiendelea hivi natafuta mwingine yeye nitamueka pending siku nikimhitaji namcheki,
Ni raha sana kuona mpenzi wako anakusemesha sio wewe kila siku unamsemesha yeye kauchuna