Hapa napendwa kweli?

Ndani ya miili yetu Kuna kazi nyingi Sana kuliko hizi ambazo miili yetu inafanya nje. Hata siku moja viungo vya ndani havijawahi kuomba ushauri na Mambo yanaenda fresh tu. Sasa we jichanganye kuomba ushauri wa mapenzi, acha mapenzi yaende yenyewe ili yakuue vizuri
 
Kiaje kwamba niachane nae?
 
Siskuhizi vijana tumekuwa dhaifu sana kwenye swala la mahusiano.

Hii sio ishu ya kuanzisha uzi, tayari jibu unalo.
Kwann uhangaike.
 
Hivi vitu vipo kiasili zaidi, hakuna mtu anayefundishwa kufanya mapenzi, ukiona mwalimu wa mapenzi Ni uongo.

Muhimu isikilize akili yako inakwambia Nini.
Nampenda ila hajawahi kufikiria kunitafuta mpaka mimi nianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…