nyoka in
JF-Expert Member
- Aug 27, 2024
- 518
- 318
Ndani ya miili yetu Kuna kazi nyingi Sana kuliko hizi ambazo miili yetu inafanya nje. Hata siku moja viungo vya ndani havijawahi kuomba ushauri na Mambo yanaenda fresh tu. Sasa we jichanganye kuomba ushauri wa mapenzi, acha mapenzi yaende yenyewe ili yakuue vizuri