Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
230
Reaction score
611
Mwanga Kaskazini ni jina la kata ya Manisipaa ya Kigoma Ujiji katika Mkoa wa Kigoma, Tanzania



Mandhari katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji



Mini mart katika Kata ya Mwanga Kaskazini, Kigoma-Ujiji



Shule ya msingi Katubuka, Mwanga Kaskazini, wilaya Kigoma Mjini, mkoa Kigoma, Tanzania,
Katubuka, Mwanga kaskazini



Kata zingine za Manisipaa ya Kigoma Ujiji - hapa Mkoani Kigoma ni pamoja na Bangwe | Buhanda | Businde | Buzebazeba | Gungu | Kagera | Kasimbu | Kasingirima | Katubuka | Kibirizi | Kigoma Mjini | Kipampa | Kitongoji | Machinjioni | Majengo | Mwanga Kusini | Rubuga | Rusimbi.
Karibuni Kigoma
Karibuni Maghararibi mwa Tanzania

 

Attachments

  • 1663772188458.png
    47.1 KB · Views: 28


Mbona kata ya kitongoni ujiji hukuitaja??!😏
 
Utalii upoje mtu akija kuzurura from Dar mfano 3 days.
Ahsante Boss, Huu ni Mji wenye shughuli nyingi kwa wakazi wa Kigoma. Mkoa wetu upo kwenye mwambao wa mashariki wa Ziwa Tanganyika, Kigoma imezungukwa na milima na misitu mikali inayoifanya kuwa eneo la kupendeza na zuri kwa utalii. Mji huu ni mzuri kwa kufanya utalii kwa ajili ya kutembelewa na safari za kwenda kuona sokwe katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gombe na maporomoko ya maji na Hifadhi ya Kitaifa ya Milima ya Mahale.

 
Kumbe Kigoma hawajambo, Shoprite bado ipo! Watu wa Dar walikuwa wakiiogopa mpaka ikafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…