Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

Hela inazunguka huko?
Ndio, pesa inazunguka ikiwa utajishughulisha kwasababu huku kwetu maisha yako chini sana, kwa hivyo hakuna matumizi makubwa ya pesa kwasababu bei ya vyakula iko chini sana. Utakuwa na fursa ya kufanya biashara nchini Congo, Burundi na mwambao wa kusini kuelekea Zambia. Wakati wa uvuvi na mavuno unaweza kuleta nguo na viatu kutoka miji mingine na ukaja kuuza Kigoma Vijijini.

1663777376366.png
 
View attachment 2363885
Migebuka biashara nzuri sana hapa Dar.Sijui hao waliokaushwa wanauzwaje hapo sokoni?
 
Back
Top Bottom