Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

Hapa ndio Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma

na hicho ndicho kinacho ifanya Kigoma kubaki nyuma kimaendeleo.
kama hawajabadilika na kuachana na imani/unguvu za giza watabaki nyuma hadi kiyama.
Usisikilize maneno yake huyo, uchawi hakuna kwasasa, vitisho vya uchawi hakuna tena
 
Kigoma ukisikiliza story za kuambiwa huwezi tamani kukanyaga. Ila Kigoma iko tofauti na story zinazosemwa kuhusu huu mkoa. Kigoma ukisema uifananishe na majiji utakuwa unakosea.

Kwasasa huu mkoa umeanza kufunguka, Maendeleo yanaonekana.. barabara ziliichelewesha huu mkoa. Ila barabara za kuingia huu mkoa sehemu kubwa kuna lami vimebaki vipande vidogo vya vumbi na ukipita unakuta wakandarasi wako barabarani.

Kuhusu uchawi labda uutafute wewe.. na hakuna sehemu Tanzania hii usikute watu wana imani hizo. Kigoma imani za kishirikina kwa sasa zimepungua mnooo, wageni wanaishi kwa amani tu
 
Kigoma ukisikiliza story za kuambiwa huwezi tamani kukanyaga. Ila Kigoma iko tofauti na story zinazosemwa kuhusu huu mkoa. Kigoma ukisema uifananishe na majiji utakuwa unakosea.

Kwasasa huu mkoa umeanza kufunguka, Maendeleo yanaonekana.. barabara ziliichelewa huu mkoa. Ila barabara za kuingia huu mkoa sehemu kubwa kuna lami vimebaki vipande vidogo vya vumbi na ukipita unakuta wakandarasi wako barabarani.
Ahsante sana, karibu sana
 
Ni kweli kabisa kama kuna mkoa ambao umevamiwa na wahamiaji haramu basi Kigoma inongoza.
Wakongo na waburundi wanaishi kigoma bila hata kuwa na vibali jambo ambalo linahatarisha usalama wa wananchi na nchi kwa ujumla.
Naww nenda kazuramimba au panda meli kibirizi nenda kivu maisha popote
 
Back
Top Bottom