Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Huyo mungu alikaa kimya hadi Muhammad azaliwe sio??

HAPANA, HAKUKAA KIMYA, soma vizuri imani yako na kuielewa.

Maana hamna historic record yoyote ya Uislamu before Muhammad, Islam started with Muhammad, and that is a fact.
KAMA HAUNA UELEWA JUU YA JAMBO FULANI NI BORA UKAULIZA ILI UPATE UELEWA.

Mathayo: 11:29 biblia inasema
"29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu"

Unachotakiwa kuelewa kwa kifupi tu neno "MNYENYEKEVU" ni neno la kiswahili, Yesu aliongea kiswahili wapi!!!!, na je neno hilo kwa kiarabu linaitwaje?
Ukishapata linaitwaje useme kati ya bibilia na Qur-an kipi kilitangulia, na kama bibilia ilitangulia Yesu alipewa unyenyekevu na nani?
Kama hujaelewa sema na kama umeelewa pia sema. Lete hoja na sio malalamiko.
 
Muhammad alianzisha dini hiyo ili imsaidie kutawala na kuiunganisha Arabia

Ndio maana alipovunja amri alijieleza kwamba yeye ana privellage ya kuvunja amri kutoka kwa Allah yaani yeye alijiweka juu ya sheria.

Na hii ilimsaidia kupunguza chaos kwenye utawala wake mfano alimuoza mtoto wake aliemuadopt kwa Zainabu, baadae akamuona Zainabu uchi akamtamani akatembea nae na watu walipokuwa wanahoji sana kikanuni za kimaadili kuua soo akampa misheni kwenda kuvamia Byzantine Empire kijana akafia huko na yeye akajiachia kwa raha zake na Zainabu
 
Ibrahimu aliibusu kaaba na kuizunguka mara 7???kama sivyo Muhammad alitoa huu utaratibu wapi??
Uliza swali ili ujibiwe, mimi siwezi kujibu malalamiko. Unaposema KAMA SIVYO maana yake huna uhakika na unacho kiuliza na pia upo kwa ajili ya ubishi tu na sio kupata elimu/uelewa.

Kimsingi binafsi sijajua unacho hitaji.
Kuhusu Abraham/Ibrahim, unahitaji kujua juhusa nini hasa, je ni
kuhusu kuwa muislamu!
kuhusu kuafanya ibada
Au unahitaji nini hasa kuhusu Abraham/Ibrahim.
Maana kama kuhusu Ibada ya kuhiji Makka ina utaratibu wake na sio kila muislamu anaifanya ibada hiyo, kwa Mfano: Masikini hana lazima ya kufanya ibada hiyo, na ndio maana hata Yesu hajafanya ibada hiyo kwa 7bu yeye ni masikini.
 
Muhammad alianzisha dini hiyo ili imsaidie kutawala na kuiunganisha Arabia

Ndio maana alipovunja amri alijieleza kwamba yeye ana privellage ya kuvunja amri kutoka kwa Allah yaani yeye alijiweka juu ya sheria.

Na hii ilimsaidia kupunguza chaos kwenye utawala wake mfano alimuoza mtoto wake aliemuadopt kwa Zainabu, baadae akamuona Zainabu uchi akamtamani akatembea nae na watu walipokuwa wanahoji sana kikanuni za kimaadili kuua soo akampa misheni kwenda kuvamia Byzantine Empire kijana akafia huko na yeye akajiachia kwa raha zake na Zainabu
Kama ni dini ya UISLAMU basi haijaanzishwa na nabii Muhammad, kasome bibilia yako, MATHAYO. 11:29, hapi Nabii Muhammad hajazaliwa.
KUHUSU ZINAA Kwa Nabii Muhammad, thibitisha madai yako. Na kama lipo kosa hilo pia ipo hukumu yake na kama wewe unamsingizia Zainab Zinaa basi pia nawe ipo hukumu yako pia. Ni kosa kubwa sana kumsingizia Mwanamke aliyejilinda na kujihifadhi kuwa amezini. Usiseme kitu usicho kijua.
 
Uislamu umetengenezwa kwa lengo moja tuu, kuwa against Ukristo(Christianity) na Uyahudi(Judaism) ndo maana wamechukua characters from the bible na kupika story tofauti na zilizoandikwa kweny biblia.

Wahindi wana dini yao (hinduism) tena ya zamani sana before even Christianity ambayo imesheheni characters, events na story nyingi sana ambazo hazina uhusiano wowote na ukristo, wajapan wana dini yao (Shintoism) ambayo nayo imejaa characters, events an story ambazo hazina uhusiano ukristo.
Sasa tukija kweny uislamu utacheka, ni kama copy and paste from the bible, quran imejaa characters from the bible, imejaa na events from the bible wamebadili kidogo ili ziendane na madhumuni yao, huhitaji kuwa great thinker kugundua kwamba hii sio dini bali ni "movement" yenye malengo flani.

Wangekuwa na akili wangetengeneza dini yao kama wahindi/wajapan/wachina walivofanya, dini iliyojaa characters, events na story tofauti kabisa na ukristo sema hio copy and paste aisee walichemsha.
Dini ya kikristo imetengenezwa na nani?
 
Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
Hii sasa ni kaswende ya ubongo.
 
Uislamu umetengenezwa kwa lengo moja tuu, kuwa against Ukristo(Christianity) na Uyahudi(Judaism) ndo maana wamechukua characters from the bible na kupika story tofauti na zilizoandikwa kweny biblia.

Wahindi wana dini yao (hinduism) tena ya zamani sana before even Christianity ambayo imesheheni characters, events na story nyingi sana ambazo hazina uhusiano wowote na ukristo, wajapan wana dini yao (Shintoism) ambayo nayo imejaa characters, events an story ambazo hazina uhusiano ukristo.
Sasa tukija kweny uislamu utacheka, ni kama copy and paste from the bible, quran imejaa characters from the bible, imejaa na events from the bible wamebadili kidogo ili ziendane na madhumuni yao, huhitaji kuwa great thinker kugundua kwamba hii sio dini bali ni "movement" yenye malengo flani.

Wangekuwa na akili wangetengeneza dini yao kama wahindi/wajapan/wachina walivofanya, dini iliyojaa characters, events na story tofauti kabisa na ukristo sema hio copy and paste aisee walichemsha.
Islamic ni Vatican project in middle East.
 
Kama mm nilivofatilia nikagundua niliyoandika na wewe kasome.

Kama una swali uliza?
History inaniambia Qur an ni muunganiko wa vitabu vinne
1. Zaburi
2. Injili
3. Torati
4. Qur an
 
History inaniambia Qur an ni muunganiko wa vitabu vinne
1. Zaburi
2. Injili
3. Torati
4. Qur an
Na history inasemaje kuhusu uwepo wa Torati, zaburi, na Injili before Quran?

History inasema Torah, Psalms and the gospel were present before even Muhammad was born??

Unabisha??
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Shetani ni Baba wa uongo wote. Aligeuza tu Baadhi ya vifungu vya Bibilia Ili atengeneze uasi na kuanzishe kundi lake (Uislam). Alafu mnadanganywa Eti Mungu Ni mmoja
Mungu Sio mmoja miungu iko mingi
Ila kuna Mungu wa Miungu na Bwana wa Mabwana
 
Uliza swali ili ujibiwe, mimi siwezi kujibu malalamiko. Unaposema KAMA SIVYO maana yake huna uhakika na unacho kiuliza na pia upo kwa ajili ya ubishi tu na sio kupata elimu/uelewa.
Mbona siasa nyingi??
Kimsingi binafsi sijajua unacho hitaji.
Kuhusu Abraham/Ibrahim, unahitaji kujua juhusa nini hasa, je ni
Bila shaka hujui hata jinsia yako.
kuhusu kuwa muislamu!
kuhusu kuafanya ibada
rejea kusoma swali,usiwe na haraka kama unawahi futari.
Au unahitaji nini hasa kuhusu Abraham/Ibrahim.
Maana kama kuhusu Ibada ya kuhiji Makka ina utaratibu wake na sio kila muislamu anaifanya ibada hiyo, kwa Mfano: Masikini hana lazima ya kufanya ibada hiyo, na ndio maana hata Yesu hajafanya ibada hiyo kwa 7bu yeye ni masikini.
HIlo la masikini umetoa mfano,ibrahim alikuwa msikini??
 
Shetani ni Baba wa uongo wote. Aligeuza tu Baadhi ya vifungu vya Bibilia Ili atengeneze uasi na kuanzishe kundi lake (Uislam). Alafu mnadanganywa Eti Mungu Ni mmoja
Mungu Sio mmoja miungu iko mingi
Ila kuna Mungu wa Miungu na Bwana wa Mabwana
Kama swala la kukubaki Mungu ni mmoja linasababisha nife basi niko tayari.

Muhammad kama alipewa utume na Mungu huyu ninayemuamini mimi,basi huyu Mungu anafaa kupigwa na condom used.
 
Mbona siasa nyingi??

Bila shaka hujui hata jinsia yako.

Ndio maana nakuambia hujui unachokiuliza, unaijua maana ya jinsia? Hapa nakufundisha kiswahili Jinsia ni majukumu kati ya mwanume na mwanamke. Na hubadilika kulingana na mazingira au tabia za makabila. Mfano, Mahari anaetoa ni mwanaume, nhiyo ndio jinsia/kazi za ndani ni za mwanamke.
Kuna tofauti kati ya JINSI na JINSIA.

rejea kusoma swali,usiwe na haraka kama unawahi futari.

Usilalamike, sema unachohitaji kujua kusu Ibrahim ili upate uelewa.

HIlo la masikini umetoa mfano,ibrahim alikuwa msikini??
Nimetoa nfano ili kukuelewesha ili nijue unachohitaji mkuu, sio ugomvi.
 
Kama swala la kukubaki Mungu ni mmoja linasababisha nife basi niko tayari.

Muhammad kama alipewa utume na Mungu huyu ninayemuamini mimi,basi huyu Mungu anafaa kupigwa na condom used.
Hiyo ni juu yako mkuu, kuamini miungu ni wangapi!!!!!
Kuhusu utume wa Muhammad aliewa na Mungu aliye umba vyote viliyoko mbinguni na duniani. Sasa sijui wewe unayemuamini ni yupi kwa mujibu wa imani yako.
 
Back
Top Bottom