Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.
Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.
Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.
View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq
Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.
Haya ni maswali ya kiimani na yanahitaji majibu yenye msingi wa maandiko matakatifu kutoka vitabu vya kidini. Nitajibu kulingana na maandiko kutoka kwenye Biblia na Qur'an, pamoja na tafsiri mbalimbali zinazotolewa na dini husika.• Wewe Unadhan Nabii Ibraheem alikuwa dini gani?
• Lakin Pia kwani Yahudi hawezi kuwa Muislam? Na Je hakuna mayahudi waislam?
• Una ushahidi wowote wa kimaandishi unaonesha Ibaraheem hakuwa Muislamu?
• Je ipo nususi yoyote yenye kuthubitisha kufa kwa Yesu kama ulivyodai kwenye andiko lako?
Majibu yote yawe na ushahidi wa Andiko
Ndiyo, ni kweli Yesu alikuwa akisali katika masinagogi, kama inavyoonyeshwa kwenye Biblia. Neno “sinagogi” linatokana na neno la Kiyunani "synagogue" ambalo linamaanisha “mkusanyiko” au “mahali pa mkutano.” Masinagogi yalikuwa ni mahali ambapo Wayahudi walikusanyika kwa ajili ya ibada, mafundisho ya dini, kusoma na kujadili Torati, pamoja na mambo mengine ya kiimani.YESU MWENYEWE ALIKUWA ANASALI KWENYE MASINAGOGI. UNAJUA SINAGOGI NI NINI? NI MSIKITI WA KIYAHUDI
Ipi?Hiyo umeitoa wapi?
Iyo Aya uloiweka ya kuwa Ibrahim ni uislam wakati uislam ni dini ya kizushi iloyozushwa juzi juzi hapo Karne ya sita?Ipi?