Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Huyu jamaa mpumbavu yaani kilaza 100% siwezagi hata kumsikiliza. Yaani kichwani hamna kitu huyu sijui waliompa promo hadi akawa sheikh.Vitu vingi sana hajui yaani kilaza balaa.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Brow ninachokipenda kwenye simu ya kiislam NI hiki ukizaliwa tu yaani ukija duniani wewe NI muislamu huna haha ya kubatizwa sijui upte mirembe au kipa imara yenyewe ukizaliwa tu we ni muislamu kubwa lbda upinge na ukatae mafundisho yake hpo umejitoa sasa utashangaa vp kuambiwa ibrahimu alikuwa muislamu we ushwahi kumuona akibatizwa
 
YESU MWENYEWE ALIKUWA ANASALI KWENYE MASINAGOGI. UNAJUA SINAGOGI NI NINI? NI MSIKITI WA KIYAHUDI
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Kama hujauelewa Uislam ni wewe hujataka uuelewe.

Siku ukitaka kuuelewa utauelewa. Au mpaka uwe mwanafalsafa kama huyu:

View: https://youtu.be/2POfCaKZ1sM?si=sX-AGu1HtYGtH7vn
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Mi nishaachaga kusikiliza na kusoma mavitabu yenu ya story za uongo uongo eti sijui za yesu na mwamedi, zote ni blah blah blah tupu
 
nijuavyo miimi,dini ya kwanza kabisa ni UPAGANI!!
Ujuavyo wewe, dini ya kwanza ilikuwa upagani?!Si kweli.Ushirika wa kwanza ulikuwa kati ya Mungu na Adamu na Hawa,ambao haukuwa upagani Kidole.Upagani ulikuja baada ya Shetani kuwadanganya Adam na Hawa.Remember God's plan was to rule in heaven and the World,Satan destroyed that plan.

Lakini issue muhimu Kidole sio ushirika wa Mungu na mwanadamu uliitwaje,He did not care about that then,and He does not care about it now either.Infact he He has instructed us to get out of religions because it is human creation,not His.Just as there were no religions in the first relationship with God,he also cherishes the same relationship with us today.Religions are a result of Satan's war games with our minds,we must resist religions with all the power at our disposal.
 
Brow ninachokipenda kwenye simu ya kiislam NI hiki ukizaliwa tu yaani ukija duniani wewe NI muislamu huna haha ya kubatizwa sijui upte mirembe au kipa imara yenyewe ukizaliwa tu we ni muislamu kubwa lbda upinge na ukatae mafundisho yake hpo umejitoa sasa utashangaa vp kuambiwa ibrahimu alikuwa muislamu we ushwahi kumuona akibatizwa
We nae akili zako zina shida.... Ibrahim hadi anafariki kulikuwa hakuna uislamu kwa mujibu wa historia, uislamu umeingia karne ya 7 baada ya yesu... Ibrahim anakuaje muislamu wakati uislamu umeletwa na Mohammed
 
Brow NI hivii huyo. Ibrahimu sio kizazi Cha uislamu NI sawa lakini mungu anayemuabudu yeye na tunaye. Muabudu sisi ndo huyo huyo sawa vile vile ilivyo haswa ukizaliwa tu haijalishi upo wapi au zama gani typically wewe bi muislam Wala huhitaji mapambio Wala mapokeo kudhihirisha dini yako unatakiwa kujifunza dini na na yaliyomo NDANI yake

Tukirudi kwa ibrahimu Kuna neno huwa linatumiwa sana na WASWAHILI KILA BABII NA ZAMA ZAKE kwa maana ibrahimu ana kutabu chake Kama ilivyo yesu au Muhammad sasa Kama kutabu unachokiamini kinamtambua uwepo wa ibrahimu na taarifa ZAKE kwanini wewe upinge na nikirudi hapo JUU kila kinachozaliwa duniani kipo KATIKA dini ya kiislam sasa Kama ibrahimu hajampinga mungu na Wala sijaona sehemu akiukana uislamu Wala sehemu akibatizwa Kama wanavyo fanya dini nyengine Wala sijaskia na kusoma kwamba ibrahimu alienda kanisani kuhubiri kwanini nipinge kwamba yeye si muislamu

Pili hata wewe hapo na komwe lako Hilo Mana halielewi kwa kubishana ujinga ulivozaliwa mpaka ukawa mkubwa hukupinga uwepo wa mungu wa KWENDA kubatizwa mie nitasema wewe NI muislamu na msikitini unaingia na kuchangamana na waislamu bila maswali Wala hofu hata Kama wazazi wako watakuita James,,au hata wakikuita yesu Hilo hali kuzuii kuwa muislam Ila ukija kwangu ukajiita mungu hapo itakuwa unetoka kwenye maadaili
 
HOJA Yao dhaifu Iko Kwa Ismael, mtoto wa mjakazi wa Sara mke halali wa Ibrahim, Sara aliruhusu Ibrahim Azar na mjakazi,

Sasa Ishmail ndiye uzao wa wapalestina na islam na waarabu, wanadai kuwa Ishmael ndiyo first borne hivyo kustahili kurithi Mali za Ibrahim,

Ikumbukwe kuwa, ardhi yote ya Israel inayogombaniwa middle east, Ibrahim aliinunua cash Kutoka Kwa walioimiliki before, hekalu likijengwa na Suleiman mwana wa Daudi Toka Kwa Isaka, lakini Islam chini ya Ishmael wakidai ardhi ni Yao.

Ni hayo tu.
 
ayatolah atoe jibuu
FB_IMG_1729292652692.jpg
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Labda waseme Mungu ni muislam
 
Ulevi wa dini tu ndugu yangu. Hizi dini mbili, ya mzungu na mwarabu zina ujinga mwingi sana hasa kwa waliopaliwa nazo. Nasisitiza tena WALIOPALIWA NAZO
 
Haikuwepo.
Kwanza unaelewa maana ya neno Uislam?

Kama huelewi hata maana ya neno Uislam, utauelewaje Uislam na nani ni Muislam na nani siyo Muidslam?

Elewa kuwa "Uidslam" ni ndno lenye maana yake, siyo jina la mtu (Yahudi) sau cheo cha mtu (Kristo).

Anza na kuelewa hayo utaelewa kwanini Ibrahim, Mussa, Yesu na mitume wote ni Waislam.
 
Hauelewi kwamba Ibrahim alikuwa muislam ila unaelewa kwamba mungu mnayemuabudu alijigeuza mtu kwa kusulubiwa na kuvalishwa kichupi hadharani.
Islam ni kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu mmoja pekee bila mshirika.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Hawa converts wetu ndiyo bado wako kwe uelewa wa kipumbavu. Wenzao wanaojiita true muslims kuna mambo mengi wameng'amua walidanganywa. Mfano ni hili pia la hijab.
Ona hapa chini

View: https://x.com/RealBababanaras/status/1847462433209622766
 
nijuavyo miimi,dini ya kwanza kabisa ni UPAGANI!!
Ujuavyo wewe, dini ya kwanza ilikuwa upagani?!Si kweli.Ushirika wa kwanza ulikuwa kati ya Mungu na Adamu na Hawa,ambao haukuwa upagani Kidole.Upagani ulikuja baada ya Shetani kuwadanganya Adam na Hawa.Remember God's plan was to rule in heaven and the World,Satan destroyed that plan.

Lakini issue muhimu Kidole sio ushirika wa Mungu na mwanadamu uliitwaje,He did not care about that then,and He does not care about it now either.Infact he He has instructed us to get out of religions because it is human creation,not His.Just as there were no religions in the first relationship with God,he also cherishes the same relationship with us today.Religions are a result of Satan's war games with our minds,we must resist religions with all the power at our disposal.
 
Ni kwanini wafasiri wa Qurani kwa kiswahili hawataki kufasiri sura zake kwa kiswahili ?
Maana Qurani ina sura za.
Wanawake
N'gombe
Kichuguu
Sisimizi
Makafiri
Nk
Au wanaona aibu ?
 
Back
Top Bottom