Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Yesu alijibu hivyo na akataja dalili za siku hiyo,unaamini alikuwa hajui??

Huyu hapa ni Allah mwenyewe Quran 5:116-117

haujui msimamo wa imani ya kikristo nakuonyesha unasema mimi mzushi😁😁
Kwani Yesu ni Muongo?
Mimi ninaamini Yesu ni mkweli hasemi uongo.
Yesu anakutambua wewe kuani MMBWA TENA NI BUBU.
Ndio masna akasema nikukatae maana wewe ni mzushi, umepotoka tena kwa mujibu wa Yesu wewe ni MMBWA. (USAYA, 56:9-12)
WEWE NI MMBWA NINAKUKATAA KWA AMRI YA MUNGU.
Mmi ni Muislamu, ninamuamini Yesu kama Muhammad, wote ni mitume wa Mungu/Allah/Yehova.
 
Ungekuwa mwaminifu kwake usingemsikiliza Muhammad na Tapeli wake wa kufikirika Allah.

Halafu wewe ngamia angano la kale hakuna maneno ya Yesu,kuna kuna utabiri wa kuja kwake tu,anayeongea hapo ni isaya nabii.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

View: https://youtu.be/8R2m_0H1wWM?si=oB1xyGb0ATY42hke
 
Kwa kawaida mungu ameumba Dunia Kisha ameumba viumbe ndani ya Dunia Ili vimuabudu.Binadamu amepewa utashi wa maamuzi apingane n mungu au amuabudu Kisha mungu ameandaa adhabu kwa wanaopings lakini kabla ya kuadhibiwa mungu huwaletea mitume Kila qaumu Ili Kila mtu awe anafahamu kuhusu mungu kabla hajaamua njia ya kufata. mitume ndiyo hii akima Mussa Ibrahimu Yusuph Isa(yesu) yakobo .Mitume yote inafundisha jambo Moja tu Sasa wakishafikisha Neno kwa watu baadae ya muda watu hai hubadilisha maneno ya mungu au huongeza maneno katika maneno ya mungu maneno yake yakisahaulika au kubadilishwa mungu huleta mtume mwingine .
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Unafahamu maana ya kuwa Muislam au Uislam?

Uislam: kujisalimisha kwa unyeyekevu kwa Muumba wako.
Muislam: Aliyejisalimisha kwa unyeyekevu kwa Muumba wake.

Wewe unajisalimisha kwa nani?
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Shetani ni muongo na baba wa huo.Ni hivi mkuu,Mohamed alipokuwa kwenye pango aliyekutana naye ni Shetani,ndiye aliyempa maagizo ya kuanzisha Uislam,wala sio Malaika Gabriel.So Uislam ni uongo mtupu,so usishangae.Si unaona hata maandishi wamegeuza,badala ya kwenda kulia,wanakwenda kushoto.Fuata link ifuatayo uone what Islam really is.

View: https://youtu.be/rMPatxZOHE0?si=xtToJnGHaVaviF-A
 
Shetani ni muongo na baba wa huo.Ni hivi mkuu,Mohamed alipokuwa kwenye pango aliyekutana naye ni Shetani,ndiye aliyempa maagizo ya kuanzisha Uislam,wala sio Malaika Gabriel.So Uislam ni uongo mtupu,so usishangae.Si unaona hata maandishi wamegeuza,badala ya kwenda kulia,wanakwenda kushoto.
Kuna watu wakiongea tu unajua hamna elimu.Ndio maana hata Quran inasema hawapo sawa wenye elimi na wasio na elimu.Lugha Soo dini ingawa Quran imeshushwa kwa kiarabu .Hao wazungumzaji wa kiarabu pia sio wote waislamu
 
Shetani ni muongo na baba wa huo.Ni hivi mkuu,Mohamed alipokuwa kwenye pango aliyekutana naye ni Shetani,ndiye aliyempa maagizo ya kuanzisha Uislam,wala sio Malaika Gabriel.So Uislam ni uongo mtupu,so usishangae.Si unaona hata maandishi wamegeuza,badala ya kwenda kulia,wanakwenda kushoto.
Kuna watu wakiongea tu unajua hamna elimu.Ndio maana hata Quran inasema hawapo sawa wenye elimi na wasio na elimu.Lugha Soo dini ingawa Quran imeshushwa kwa kiarabu .Hao
 
Kama uislam ulianza na Muhammad inamana alizaliwa na makafiri.
Nani alibuni muundo wa ujenzi wa msikiti?
Jamii aliyoikuta walikuwa wa dhehebu gani.
Kwani ni lazima quran isomwe kwa kiarabu then mtu atafasiri mstari uleule alafu auchambue kwa lugha myingine.inashindikanaje iandikwe kwa lugha ya jamii husika ikaeleweka zaidi.
 
Tatizo lako badala ya kuisoma Qur'an uujuwe Uislam unaanza kufata porojo za kwenye miuandao.

Mbina sisi tunaisoma biblia ili tusidanganyike, na tukishaisoa tunawafundisha wakristo, ka maana tunauhakika hawaisomi ipsavyo.
surah al baqarah 2:62
Nipe ufahamu juu ya ihyo surah Al baqarah.
 
Tatizo lako badala ya kuisoma Qur'an uujuwe Uislam unaanza kufata porojo za kwenye miuandao.

Mbina sisi tunaisoma biblia ili tusidanganyike, na tukishaisoa tunawafundisha wakristo, ka maana tunauhakika hawaisomi ipsavyo.
Aliye post hiyo clip ametumia Qur'an Faiza,nimemfuatilia vizuri na yuko sahihi 100%.Sijui Kwa nini mnapopewa ukweli you tend to say,oh,hiyo ni mitandao.Ndio kwenye mitandao kuna uwongo mwingi,lakini most of it is authentic,isingekuwa hivyo watu tusingepata PhD zetu from on line resources.

Sisi ndio watu wa Kitabu Faizal,so you are supposed to contact us on anything you do not understand.That is what you have been instructed to do.
 
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo anasema Ibrahimu alikuwa Muisrael, na kizazi chake ndio cha Wayahudi. Sasa mimi najiuliza Ibrahim anakuwaje Muislamu na Hekalu linakuwaje la Waislamu.

Hilo Hekalu la Suleiman sio mali waislamu. Uislamu umekuja baadae sana karne ya 7 baada ya Kristo. Unasemaje kwamba HEKALU ni mali ya uislamu wakati uislam umeletwa na Mtume Mohamad baadae kabisa baada ya Yesu kufa ambapo miaka yote hiyo Hekalu lilikuwepo.

Anasema tena eti Ibrahim alikuwa ni Muislamu, kivipi wakati Uislam umeletwa na Mohamad karne ya 7 baada ya YESU.

View: https://youtu.be/VsDUEU09gkQ?si=rU1ddqIHlxXkN7Dq

Hapa ndipo Uislamu siuelewagi kabisa, yani umekuja badae alafu unalazamisha kwamba ulikuwepo toka mwanzo.

Sasa mkuu kma huamin kma hekalu la Nabii suleiman ni mali ya Waislam bas ungeonyesha ushahid wa dini nyingine inayomiliki hapo!!

Kiukweli nataman nikujibu ki utaalam lakin naic tayar ubongo wako uwezi kupokea Kwa maana tayari umeuliza swali halafu jibu unalo sasa hapo nikikupa jibu uwezi kuelewa

Mtume muhamad SAW hakuanzisha uislam bali yeye alikuja kukamilisha uislam!! Hapo unasema uilsam kauleta muhamad so kauleta kautoa wapi!!?

Halafu hilo hekalu lipo hapo Jerusalem wanaohabudu ni Wayahud na waislam! Ucje kusema wayahud ni wakristo tu
 
Aliye post hiyo clip ametumia Qur'an Faiza,nimemfuatilia vizuri na yuko sahihi 100%.Sijui Kwa nini mnapopewa ukweli you tend to say,oh,hiyo ni mitandao.Ndio kwenye mitandao kuna uwongo mwingi,lakini most of it is authentic,isingekuwa hivyo watu tusingepata PhD zetu from on line resources.

Sisi ndio watu wa Kitabu Faizal,so you are supposed to contact us on anything you do not understand.That is what you have been instructed to do.
Hakuna Qur'an hapo, wwe unaijuwa Qur'an? Nukuu Qur'an uliyoifatilia wewe, wacha porojo.
 
Back
Top Bottom