Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Kwani Yesu ni Muongo?Yesu alijibu hivyo na akataja dalili za siku hiyo,unaamini alikuwa hajui??
Huyu hapa ni Allah mwenyewe Quran 5:116-117
haujui msimamo wa imani ya kikristo nakuonyesha unasema mimi mzushi😁😁
Mimi ninaamini Yesu ni mkweli hasemi uongo.
Yesu anakutambua wewe kuani MMBWA TENA NI BUBU.
Ndio masna akasema nikukatae maana wewe ni mzushi, umepotoka tena kwa mujibu wa Yesu wewe ni MMBWA. (USAYA, 56:9-12)
WEWE NI MMBWA NINAKUKATAA KWA AMRI YA MUNGU.
Mmi ni Muislamu, ninamuamini Yesu kama Muhammad, wote ni mitume wa Mungu/Allah/Yehova.