Kweli tu
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 397
- 448
Kitabu unacho kiamini.Kutoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitabu unacho kiamini.Kutoka wapi?
Nakushauri acha matusi. Tunayajua piakafiri.
Huna elimu ya kaaba kunizidi,Pata elimu kuhusu kaaba, katika uislamu hakuna anayeabudiwa isipokuwa mungu mmoja na tunaamini mafundisho ya mitume yote iliyotumwa na mungu kwa vitendo
Nimekuonyesha mwanzo yesu alikuwa akisali kwa kusujudu vipi nyie nini kinawafanya msimsujudie mungu ? Ina maana hamfuati mafundisho ya yesu ,mzungu anawapotosha ,imefikia wakati hadi anawaambia muoane jinsia moja kweli japo kuna dini?
Lile jiwe ndio Allah kumbe🤔Yuko sahihi, hawasujudii kaaba, bai wanamsujudia Mungu wakiwawameekekea liliko kaaba. Tatizo lako wewe ni kafiri ndio maana hutaki kuelewa.
Porojo.Petro alikuwa muislam?Vipi Yohane mtume?Uislam haujaanza kwa Muhammad s.a.w umeanza kwa Adam na mitume wote walikuja kueneza imani moja ya Allah pamoja na ujumbe maalum wa kuacha mabaya waliyokua wakiyafanya na kuhimizwa kufanya mambo mema, na ndiyo maana siyo Abraham pekee hata yesu ni muislam pure, ila nyie ndo hamtaki sijui ni wa wapi 😁😁😁😁😁
Hakimjui mtu anaitwa MohammadKitabu unacho kiamini.
hiyo sio hasara yangu,mimi kazi yangu ni kukuonyesha njia sahihi,wanasema ni jambo jepesi kupeleka punda mtoni,ila kuilazimisha kunywa maji ni jambo jingine😅😅😅Niwe kafiri jama wewe ili niende motoni?
Wakorintho wa 1. 15:18, inasema wazi
18 Na hapo wao nao waliolala katika Kristo wamepotea.
Mpaka shetani ni muislam😁😁Porojo.Petro alikuwa muislam?Vipi Yohane mtume?
waislamu tunasali kama alivyosali yesu kwa kusujudu na hapo maka pia huwa tuna sali sasa kwa nini hautaki tusujudu? Mungu lazima asujudiwe hata huyo yesu unayemwita mungu alikuwa akisujudu kwa mungu wake siyo wewe unayoenda kanisani kuimbaHuna elimu ya kaaba kunizidi,
Nenda kajifunze asili yake kisha urudi hapa,ukatae tena waislam hawasujudu kaaba,maa hutumii akili.
Sikia we kafiri. Ili uwe muislamu ni lazima uamini vitabu vya Mungu na Mitume wa Mungu pia waislamu tunamuamini Yesu kua ni Mtume wa Mungu, ni mtoto wa kiume wa bikira Mariyam na ametahiriwa nangariba kama nilivyo tahiriwa mimi. Wewe una shida gani na uislamu?Ubishi wako hauna cha kufanya na hilo jambo.
Usihamie kwa ibrahim maana kiasili wayahudi wote yule ni baba yao kikabila na hata kiimani,wachana na Muhammad tapeli huyo kaja kukuharibu akili miaka 4600 baadae.
SIsi wakristo tuna akili hatuzolewi kama mifugo,tunajua Yesu hakuaa mkristo sisi tulio wake ndio wakristo,sasa wewe unaambiwa Muhammad ndio muislam wa kwanza halafu unasema na ibrahim alikuaa muislam!!!😄😄
SIna shida na uislam,nina shida na upumbavu wa waislam,nashangaa mtu timamu anakuwaje muislam,hivyo tu yaani.Sikia we kafiri. Ili uwe muislamu ni lazima uamini vitabu vya Mungu na Mitume wa Mungu pia waislamu tunamuamini Yesu kua ni Mtume wa Mungu, ni mtoto wa kiume wa bikira Mariyam na ametahiriwa nangariba kama nilivyo tahiriwa mimi. Wewe una shida gani na uislamu?
Sina shida na Mungu kusujudiwa,nina shida na kaaba kusujudiwa halafu mtu na miraba minne kukataa kwamba kinachosujudiwa sio kaaba ni Mungu.waislamu tunasali kama alivyosali yesu kwa kusujudu na hapo maka pia huwa tuna sali sasa kwa nini hautaki tusujudu? Mungu lazima asujudiwe hata huyo yesu unayemwita mungu alikuwa akisujudu kwa mungu wake siyo wewe unayoenda kanisani kuimba
Mbona wakristo pia wanasujuduwaislamu tunasali kama alivyosali yesu kwa kusujudu na hapo maka pia huwa tuna sali sasa kwa nini hautaki tusujudu? Mungu lazima asujudiwe hata huyo yesu unayemwita mungu alikuwa akisujudu kwa mungu wake siyo wewe unayoenda kanisani kuimba
Mh sijawahi kuona ila kama wapo wanaosali hivyo ni jambo jemaMbona wakristo pia wanasujudu
MUislamu ana sali popote na tunamsujudi mwenyezi mungu muumba mbingu na ardhi na kila kitu, kama wewe unalazimisha tunasujudia kaaba hayo ni ya kwako , ila waislamu wote dunia nzima tunamsujudia mungu mmoja ambae hana mshirikaSina shida na Mungu kusujudiwa,nina shida na kaaba kusujudiwa halafu mtu na miraba minne kukataa kwamba kinachosujudiwa sio kaaba ni Mungu.
Sisi sio wapumbavu kaka.
Wa orthodox wanasujudu japo ni wakatolikiMh sijawahi kuona ila kama wapo wanaosali hivyo ni jambo jema
Mambo ya Nyakati wa 2, 18:18-21, inasemaMpaka shetani ni muislam😁😁
Hao sasa ndio wakristo wanaofuata bible wengi wanapotoshwa na wazungu ambao hawataki hata kuisikia dini wanajaribu kuficha ukweli wote kwa maslahi ya kiduniaWa orthodox wanasujudu japo ni wakatoliki
MUngu mwenyezi,hana mshirika ila Allah anaye ni kaaba na Muhammad.MUislamu ana sali popote na tunamsujudi mwenyezi mungu muumba mbingu na ardhi na kila kitu, kama wewe unalazimisha tunasujudia kaaba hayo ni ya kwako , ila waislamu wote dunia nzima tunamsujudia mungu mmoja ambae hana mshirika
Wazungu nao ni wapokeaji tu,walioanzisha ukristo sio wazungu.Hao sasa ndio wakristo wanaofuata bible wengi wanapotoshwa na wazungu ambao hawataki hata kuisikia dini wanajaribu kuficha ukweli wote kwa maslahi ya kidunia