Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Muhammad alianzisha dini hiyo ili imsaidie kutawala na kuiunganisha Arabia

Ndio maana alipovunja amri alijieleza kwamba yeye ana privellage ya kuvunja amri kutoka kwa Allah yaani yeye alijiweka juu ya sheria.

Na hii ilimsaidia kupunguza chaos kwenye utawala wake mfano alimuoza mtoto wake aliemuadopt kwa Zainabu, baadae akamuona Zainabu uchi akamtamani akatembea nae na watu walipokuwa wanahoji sana kikanuni za kimaadili kuua soo akampa misheni kwenda kuvamia Byzantine Empire kijana akafia huko na yeye akajiachia kwa raha zake na Zainabu
 
Ibrahimu aliibusu kaaba na kuizunguka mara 7???kama sivyo Muhammad alitoa huu utaratibu wapi??
Uliza swali ili ujibiwe, mimi siwezi kujibu malalamiko. Unaposema KAMA SIVYO maana yake huna uhakika na unacho kiuliza na pia upo kwa ajili ya ubishi tu na sio kupata elimu/uelewa.

Kimsingi binafsi sijajua unacho hitaji.
Kuhusu Abraham/Ibrahim, unahitaji kujua juhusa nini hasa, je ni
kuhusu kuwa muislamu!
kuhusu kuafanya ibada
Au unahitaji nini hasa kuhusu Abraham/Ibrahim.
Maana kama kuhusu Ibada ya kuhiji Makka ina utaratibu wake na sio kila muislamu anaifanya ibada hiyo, kwa Mfano: Masikini hana lazima ya kufanya ibada hiyo, na ndio maana hata Yesu hajafanya ibada hiyo kwa 7bu yeye ni masikini.
 
Kama ni dini ya UISLAMU basi haijaanzishwa na nabii Muhammad, kasome bibilia yako, MATHAYO. 11:29, hapi Nabii Muhammad hajazaliwa.
KUHUSU ZINAA Kwa Nabii Muhammad, thibitisha madai yako. Na kama lipo kosa hilo pia ipo hukumu yake na kama wewe unamsingizia Zainab Zinaa basi pia nawe ipo hukumu yako pia. Ni kosa kubwa sana kumsingizia Mwanamke aliyejilinda na kujihifadhi kuwa amezini. Usiseme kitu usicho kijua.
 
Dini ya kikristo imetengenezwa na nani?
 
Hii sasa ni kaswende ya ubongo.
 
Islamic ni Vatican project in middle East.
 
Kama mm nilivofatilia nikagundua niliyoandika na wewe kasome.

Kama una swali uliza?
History inaniambia Qur an ni muunganiko wa vitabu vinne
1. Zaburi
2. Injili
3. Torati
4. Qur an
 
History inaniambia Qur an ni muunganiko wa vitabu vinne
1. Zaburi
2. Injili
3. Torati
4. Qur an
Na history inasemaje kuhusu uwepo wa Torati, zaburi, na Injili before Quran?

History inasema Torah, Psalms and the gospel were present before even Muhammad was born??

Unabisha??
 
Shetani ni Baba wa uongo wote. Aligeuza tu Baadhi ya vifungu vya Bibilia Ili atengeneze uasi na kuanzishe kundi lake (Uislam). Alafu mnadanganywa Eti Mungu Ni mmoja
Mungu Sio mmoja miungu iko mingi
Ila kuna Mungu wa Miungu na Bwana wa Mabwana
 
Uliza swali ili ujibiwe, mimi siwezi kujibu malalamiko. Unaposema KAMA SIVYO maana yake huna uhakika na unacho kiuliza na pia upo kwa ajili ya ubishi tu na sio kupata elimu/uelewa.
Mbona siasa nyingi??
Kimsingi binafsi sijajua unacho hitaji.
Kuhusu Abraham/Ibrahim, unahitaji kujua juhusa nini hasa, je ni
Bila shaka hujui hata jinsia yako.
kuhusu kuwa muislamu!
kuhusu kuafanya ibada
rejea kusoma swali,usiwe na haraka kama unawahi futari.
HIlo la masikini umetoa mfano,ibrahim alikuwa msikini??
 
Shetani ni Baba wa uongo wote. Aligeuza tu Baadhi ya vifungu vya Bibilia Ili atengeneze uasi na kuanzishe kundi lake (Uislam). Alafu mnadanganywa Eti Mungu Ni mmoja
Mungu Sio mmoja miungu iko mingi
Ila kuna Mungu wa Miungu na Bwana wa Mabwana
Kama swala la kukubaki Mungu ni mmoja linasababisha nife basi niko tayari.

Muhammad kama alipewa utume na Mungu huyu ninayemuamini mimi,basi huyu Mungu anafaa kupigwa na condom used.
 
Kama swala la kukubaki Mungu ni mmoja linasababisha nife basi niko tayari.

Muhammad kama alipewa utume na Mungu huyu ninayemuamini mimi,basi huyu Mungu anafaa kupigwa na condom used.
Hiyo ni juu yako mkuu, kuamini miungu ni wangapi!!!!!
Kuhusu utume wa Muhammad aliewa na Mungu aliye umba vyote viliyoko mbinguni na duniani. Sasa sijui wewe unayemuamini ni yupi kwa mujibu wa imani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…