Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

wakristo wanasema kuna miungu mitatu na yesu naye ni mungu hapo tu ndio wanapoharibu, na yesu alikuwa akisali kwa kusujudu wao kanisani wanaenda kuimba hapo kidogo kunanipa shida ingawa siingilii imani za mtu kwani siyo kitu kizuri
 
.. Wakati uislam umekuja juzi juzi tu hapo
Dunia Ina meengi yatakayo kuacha mdomo wazi.

Kwa Nini unalazimisha Uislam kaja nao Muhammad?

Rudi YouTube tafuta Yesu alikua dini Gani wamefafanua Kwa undani.
 
Kama Ibrahimu, Adam na wengine walikuwa waislam. Naomba nioneshwe kifungu katika Quran ambapo Hao watu walishahadia kama nguzo mojawapo ya uislam. Maana ili uwe Muislama ni lazima ushahadie.
Mimi mbona ni Muislamu na sijashahadia ili kuwa Muislamu ?

Uislamu umegawanyika sehemu mbili, Uislamu wa jumla na Uislamu maalumu, ambao amekuja nao Mtume.

Uislamu wa ujumla ni ule ambao wanaingia mitume na manabii wote wa Allah. Kwahiyo hakuna nabii wala Mtume wa Allah hakuwa Muislamu
 
Kwani Ibrahimu alikuwa ni dini gani ?
 
Tuambie wewe aliishi karne ya ngapi ?

Hivi kuna watu wenye kuhifadhi Historia kuwazidi Waislamu ?
Wamehifadhi wapi,nenda vatican uone historia ilivyoifadhiwa,waislam ni kama walokole tu hawaendi deep sana kwenye elimu dunia
 
Wewe
wewe ngumbaru mwanahizaya usiniletee upuuzi. Nitakuja kukubandua nikuvunje mgongo. Mpumbavu mkubwa wewe. Tena usirudie kuandika huu ujinga wako kenge mtumwa wa waarabu wewe. Nguruwe kabisa. Mamako ndo aliyeingia labor na kutuletea jitu pumbavu kama wewe ambalo eti linahisi sisi tuko hapa kulibadilisha liwe liislamu. Ngumbaru kabisa
 
Dini zina fiksi nyingi sana kiukweli. Mimi huwa nawaachia wenye dini zao😁.
 
Aiseeee, uislam wa jumla upoje? He hujashahadia? Unakumbuka ulipozaliwa kama hujashahadiwa masikioni na wazee wako?
 
Tulia dawa ikoleee mwanaharamu wewe. Na ukitikisika sindano itavunjikia matakoni mwako fvkc. Wapi natetea waarabu kenge we. Acha mihemko na usome kwa weledi if you have any.
Wewe wazazi wako wameambulia utamu tu. Bora dingi yako angepiga nyeto, mamako kapoteza energy bure labor kenge mweusi wewe.
 
Piga piga tu kelele nitakuja kukubandua mpaka mnduku upasuke. Nitaanza na baba yako kumpasua marinda na kumalizia na wewe nguruwe wa mudi
 
Mbona unamtumana mwenzio matusi makubwa hivi bila sababu ya msingi. Relax hili ni jukwaa huru. Kama huafiki mada na mawazo ya mwenzako. Nenda kasome kula tunda Kimasihara kule. Acha ujuaji.
 
Mbona unamtumana mwenzio matusi makubwa hivi bila sababu ya msingi. Relax hili ni jukwaa huru. Kama huafiki mada na mawazo ya mwenzako. Nenda kasome kula tunda Kimasihara kule. Acha ujuaji.
Mbona uko sided na wewe. Mtu kakurupuka huko ananituka mbona humsemi?
We nawe umekula maharage ya wapi?
Akileta upuuzi anajibiwa upuuzi
 
Wanasema hata ADAM na HAWA walikuwa waislam πŸ™‚
 
Uislamu ni dini ya mchongo mimi wala hawanisumbui na kelele zao za kulazimisha mambo,vitu vingi wamekopi kutoka kwa wakristo na wayahudi,bila ukristo na uyahudi hakuna uislamu kabisa.
 
Acha ushamba kujifanya unajua kila kitu, shahada imekuja katika wakati wa Muhammad pekee,
Shida huja pale ma "Zinga" mnapojifanya kuujua uislam kuliko waislam wenyewe 😁😁😁😁😁
Dini ya mihemko na jazba, hiyo miungu yenu ya kiarabu inayoitwa allah ni vituko tupu
 
Ibrahim hakuwa na dini ila ali
Kuwa mtu mwenye Imani sana na nungu....ndo maana dini nyingi zinamtumia kama baba wa Imani.....vile vile Kwa yaqub(jackobo) ambae ndio Taifa la wayahudi na ninwaliitwa waisrael Kwa jina lake lilobadilishwa , hvo hvo Kwa yesu ambae alihubiri Neno la Mungu na habari zake lakn hakuna Sehem pameandikwa yesu alikuwa mchristo Bali eye ndie Kristo na waliitwa wakristo baada ya eye kupaa mawinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…