Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

Hivi unajuwa kuwa Wamisri si Waarab
 
SIKU MKIKEMEA MAJINI/MAPEPO/MIZIMU KWA JINA LA MUHAMMAD (S.A.W) NA YAKAKIMBIA AU YAKAMTOKA MTU ALIYEPAGAWA KAMA MIMI NINAVYOYAKEMEA KWA JINA LA YESU KRISTO (YESHUA)NA KUYAAMURU YAMTOKE MTU NA KUKIMBIA NDIO NITAAMINI KWAMBA MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU.
Shetani hawezi mtoa shetani mwenzake kwa maana ufalme huo utakuwa umefitinika.

Hao wanachofanya ni kupunga pepo yaani kuliomba litulie huku wamemshika sikio au kumng'ata mtu mwenye mapepo na kulisikikiza nini linataka ili litulie. Wakishindwa kulituliza, hulibandikia Pepo lenzake lenye nguvu zaidi yake ili litulie.
 
Yesu na Mohammed wote ni characters ambao jamii haikuwakubali na mpaka leo hii Wayahudi hawaamini Yesu kuwa mtoto wa Mungu na Mohammed wanamuona ni kama gaidi na ndiyo maana wanamuita kichaa au mtu aliyepatwa na majini.
Mzee Wayahudi gani Hao? Maana wayahudi wapo kama Taifa(Watanzania)au wayahudi kama dini?

Wayahudi kama Taifa wapo waliompokea na kumkubali Yesu na ndio maana alipokuwa kwa Jinsi ya Mwili alikuwa na wafuasi zaidi ya 500 ambao ni wayahudi. Ila Wayahudi kama dini ndio haikumkubali Yesu na viongozi wa Dini (Baraza la Wazee yaani Senhedrin) wao ndio walimshtaki kwa Watawala wa Kirumi ili asulubiwe.
 
Yesu alibatizwa, mbona hawabatizwi?wanatetea kitu kwa ujinga mkubwa kabisa 🀣🀣🀣
 
Usilazimishe tufanane sheheee. Mi si size yako wewe endelea na umbumbumbu wako ipo siku utaelewa.
Ni kweli hatufanani maana mimi ninamuomba Mungu moja kwa moja, sipitii kwa mtu kama wewe unaemuomba Mungu kupitia Yesu.
Yesu, Muhammad na mimi sote tumeletwa duniani na Mungu, vipi nimuombe Mungu kupitia mtu mwengine wakati Mungu ni wakwetu sote.!!!!!
 
Yesu na Mohammed wote ni characters ambao jamii haikuwakubali na mpaka leo hii Wayahudi hawaamini Yesu kuwa mtoto wa Mungu na Mohammed wanamuona ni kama gaidi na ndiyo maana wanamuita kichaa au mtu aliyepatwa na majini.
Na wewe unamuitaje?
 
Yesu alibatizwa, mbona hawabatizwi?wanatetea kitu kwa ujinga mkubwa kabisa 🀣🀣🀣
Waislamu hawabatizwi 7bu ni kwamba Yesu alisema tujifunze kwake na sio kwa Yohana, kwakua waislamu tunajifunza kwa Yesu hatubatizi maana Yesu mwenyewe hakubatiza mtu ktk maisha yake.
 
Na Maria wakatoliki wanasema ni bikra wakati alimzaa Yesu.
Josefu wao wanamuita Yusufu,ilimradi tu wawe tofauti.
 
Waislamu hawabatizwi 7bu ni kwamba Yesu alisema tujifunze kwake na sio kwa Yohana, kwakua waislamu tunajifunza kwa Yesu hatubatizi maana Yesu mwenyewe hakubatiza mtu ktk maisha yake.
Yesu alisema enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi MKIWABATIZA kwa jina la
Waislamu hawabatizwi 7bu ni kwamba Yesu alisema tujifunze kwake na sio kwa Yohana, kwakua waislamu tunajifunza kwa Yesu hatubatizi maana Yesu mwenyewe hakubatiza mtu ktk maisha yake.
Yesu alisema enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi MKIWABATIZA kwa jina la Baba,mwana na roho mtakatifu mkiwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi
 
7lWaislamu hawabatizwi 7bu ni kwamba Yesu alisema tujifunze kwake na sio kwa Yohana, kwakua waislamu tunajifunza kwa Yesu hatubatizi maana Yesu mwenyewe hakubatiza mtu ktk maisha yake.
Yesu alisema enendeni ulimwenguni mwote mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi MKIWABATIZA kwa jina la
 
Kuna muda huhitaji kwenda short course kuelewa changamoto ya afya ya akili, maana hata kuwazia vitu ambavyo sio kweli nayo ni mojawapo

Huwezi kusema alikuwa dini hiyo ilhali kitabu na mtume husika alikuja kushuka baadae sana

Ila dah
 
Mimi toka niambiwe uislam ni kizazi cha kijakazi baas!
samahani lkn
Ulichoambiwa sio kibaya endapo utatafuta elimu ukawa na uhakika ukaondokana na maneno ya kuambiwa. Eg. Adam alifungishwa ndoa na nani? Kisha binaadamu anatakiwa atafakari maneno ya kusema kabla hajasema. Eg. Nilizaliwa baada ya ndoa kupita au nilizaliwa wakati wazazi wangu wapo ktk kipondi cha kuagalizana tabia?
 
Mie quran inaonesha wazi kuwa woooteee hao walileta ujumbe mmoja unaofanana, walikuwa waislam,
Nioneshe ww andiko lolote linalowanad Ibrahim na Adam na wenzao kuwa walikua wakristo bas 😁😁😁😁😁😁
Kwa nini tukiamini kitabu cha dini yako kama ndio ukweli wa historia halisi??
 
Hata wewe ulikuwa Muislam, labda huelewi maana ya neno Uislam na ni nini kuwa Muislam.

Soma kijana kabla hujakurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…