Uchaguzi 2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

Uchaguzi 2020 Hapa ndipo anapokosea Dkt. John P. Magufuli. Kwasasa yeye ni 'mgombea zaidi' kuliko Rais

Kwani Lissu na Mnyika aliposema jana kwamba Urais wa Magufuli sasa basi walijuaje kama hatashinda?
 
Jana katoa amri zahanati ijengwe Singida na ataenda kuzindua mwezi wa 11 sasa kama nayeye nimgombea unatoaje ahadi kuwa kianze kujengwa katikati ya kampeni hio sirushwa?.
Kwani Rais kwa sasa ni nani?
 
Na hii kauli ndo itafanya tuungwe mkono na jumuiya ya kimataifa pale tutakapoamua kumng'oa madarakani kwa nguvu
Muungwe mkono na mabeberu?
.
Sasa mbona hamuamui kumtoa kwa nguvu?
 
Paul Makonda hakutegemea angeondoka kwenye mkuu wa mkoa wa dar na kuwa kama kidagaa. Kuna dalili baba yake nae akapigwa na butwaa la chato[emoji1787][emoji1787]


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kama unafikiri mtafanana maisha na Makonda basi pole!

Mlisema Makonda akitoka kwenye hiyo mafasi mtamfanya vibaya, haya huyo hapo sasa anadunda tu.

Na baada ya Magu kuapishwa atateuliwa cheo kikubwa sana.
 
Kama unafikiri mtafanana maisha na Makonda basi pole!
Mimi sijawahi kujilinganisha na mtu kwasababu najua hatulingani wala hatufanani sasa kwanini niwe na ujinga wa kilinganisha? Nilichosema kuwa ukuu wa mkoa hanao tena sasa hata akipewa nafasi nyengine so what?


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mzee Tupa Tupa
Wewe unaona upande wa upinzani Kuna mgombea kweli?
Kuna mmoja anapunguza stress
Mwingine ni Tiss
Wengine comedian
Wengine wanauza sura ili vyama vyao visife!

Mgombea wa CCM anafanya ziara kujua shida za wananchi!

Ndiyo maana tunajadili kumuongezea muda baada ya hii mitano ili nchi isomge zaidi
 
Mkuu, opinion polls zinaonesha CCM (Magu) itashinda kwa kishindo uchaguzi huu.. Makadirio yakiwa ni ushindi wa zaidi ya 90%.
Opinion polls zimefanywa na nani?
Hapa Russia tuna the Levada Center,wao wana reputation nzuri kuhusu researches & polls.
USA kuna Gallup,YouGov na wengine wanaotambulika.
Hao waliofanya opinion polls ya 90% ni nani?
 
Kwani hujui kuwa ni Rais anayesubiriwa kuapishwa baada ya uchaguzi 28/10/2020?!
 
Jana katoa amri zahanati ijengwe Singida na ataenda kuzindua mwezi wa 11 sasa kama nayeye nimgombea unatoaje ahadi kuwa kianze kujengwa katikati ya kampeni hio sirushwa?.
Unafikiri urais wake umekoma eeh!!? Jidanganye soma vizuri Katiba
 
Ni lazima JPM awaambie watanzania kafanya mambo gani makubwa ya kimaendeleo kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.kama kaweza makubwa madogo hayatomshinda kuyatekeleza endapo wananchi wakimchagua kwa mara ya pili.

Wewe jambo kubwa kwako ni flyovers,SGR,madaraja!!?

Na jambo dogo ni ajira yenye heshima, afya bora kwa kila Mtanzania, elimu bora, maslahi ya wafanyakazi, mazingira bora ya uwekezaji na ujasiriamali, kilimo bora na chenye tija?

Tuambie mambo madogo ambayo Mh. JPM amesema yeye kama mgombea na yale yaliyopo kwenye ilani ya chama chake ambayo hatashindwa kuyafanya akipewa ridhaa na Watanzania kwa kipindi cha pili.
 
Sasa kama anakosea si ndio vizuri Kwenu, mwache aendelee kukosea na wengine wapate then tusubiri 28 october
 
Si ana uhakika kwamba na urais tena, tume, mihimili na mifumo ya serikali pamoja na saikolojia za watz amezicorrupt na zote zinambeba.
 
Back
Top Bottom