Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

Chadema hamna kingine zaidi ya agenda za TBT ?
 
Natamani hii sinema ifike mwisho halafu itokee anayetuhumiwa sie mhusika
 
Kuna taasisi nyingine ukiajiriwa unapewa barua ya kusaini, ndani kuna kipenge "ukisaliti ni kifo" Ina maana umekubali na uwe unachunga sana ulimi wako.
 
mwandishi kama Saed Kubenea yule wa mwana halisi alichunguza vizuri sana tukio la Ulimboka hadi tukamjua Ramadhani ighondwe. sijui sikuizi yupo wapi na anafanya nn
 
Dah bongo hatuna media kabisa, Kenya wako mbali sana huwa Wana cover ushahidi utadhani ni majasusi kamili.
 
mwandishi kama Saed Kubenea yule wa mwana halisi alichunguza vizuri sana tukio la Ulimboka hadi tukamjua Ramadhani ighondwe. sijui sikuizi yupo wapi na anafanya nn
Mbunge wetu Singida Kaskazini
 
..Nashauri Mdude Nyagali akafunguke mbele ya Tume ya Jaji Mkuu Chande.
Tumhamasishe aende. walio karibu na sugu wamwambie aende kama mwananchi wa kawaida
ahamasishwe mke wa anzory gwanda nae aende
wazazi wa Ben Sanane nao wahamasishwe waende wakaeleze kinaga ubaga
 
Waandishi wa habari za kiuchunguzi wanafuata upepo wa watawala. Ni hasara sana kwa nchi.
 
..hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D.

..hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana.

..hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.


Hii ishu kuna siku lazima ita back fire tuu trust me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…