Umaskini wa kwenu siyo wetu sote. Migari, mighorofa yoote hii, mabarabara, ardhi yooote hii bado unalia wewe ni maskini?
Sema Mungu kakupiga kofi tu.
Kupiga picha tu pia ni jambo la kumuumiza mtu? Akimiliki ninayelandana naye sura mnamuita mweusi ni faraja kubwa mno! Isiyo kifani. Yaani sisi hao! Km nyerere na UNO!Unajivunia migari na mighorofa kwamba ndo utajiri, hayo ambayo unapiga nayo picha tu na si mmiliki... ndo hizi faraja mtoa mada anauliza SO WHAT..!!
Jikaze mlamu.
English ni tatizo au! Nini maana ya people of colour? Unaniimbisha wimbo usiokuwa na chorus?
Huo weusi sababu kakupachika mzungu unafurahia ka zuzu!
Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.Hilo neno βpeople of colourβ mbona umetumia lugha za mzungu, kikwenu mnaitaje hiyo.?
Kumjua adui ndo lengo na chanzo kizuri kwa mapambano.Hilo neno βpeople of colourβ mbona umetumia lugha za mzungu, kikwenu mnaitaje hiyo.?
Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.
brother can you prove that Africa history is altered. and how did you know that?ni historia.historiabya ukweli ya mtu mweusi imepindishwa ndo maana wanaharakati wengi wanajitahidi kuweka wazi hilo.tukija kwenye hali ya sas ni kweli Afrika tumekosa viongozi.tatizo kubwa la Africa ni uongozi
Kikwetu tunaita "Bhuganja Bunu" nimekuandikia lugha ya kikoloni ili uelewe kuwa adui yetu hawezi niteta! Wala kunifanyia hila tena Namjua inn and out! Na imeenea kwa wengi ambao nitawaelimisha.
Mkuu niko vidhuli up stairs kuliko! Inn ni Ebonics usikariri!Inn and out? Inn π³π³π³π€£π€£π€£
Ni kweli kabisa hata mimi najiuliza same questions.Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?ππππ Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Watu weusi tuna tatizo kubwa la inferiority complex. Tukifuatiwa na waarabu.wazungu wanajijenga au kujengwa na hali ya kujiamini sana.
Weusi tumebaki kuanzisha nyuzi na kuandika vitabu mafarao walikuwa weusi.haya walikuwa weusi.so what?
Hebu niambie na maisha yako hayo mazuri au ya kuunga unga ukiamka kesho unakuja kuhakikishiwa kabisa.YESU ALIKUWA NI MJOMBA WAKO.YAANI NI UKOO WENU KABISA.
INAKUSAIDIA NINI? sasa hayo ya kuhangaika kusema Yesu alikuwa mweusi mitume na manabii walikuwa weusi.SO WHAT?
AFRIKA ilikuwa na teknolojia ya juu zamani. so what? Kwa nini leo hatuhangaiki kupambana na maisha tunahangaika kutafuta asili miaka mingi mbele?
Kama ukigundua Waisraeli Original walikuwa weusi na Wamisri Original walikuwa weusi.HALAFU? Lets say ni kweli walikuwa weusi na pua hizi hizi bapa na lips za midomo nene. Na adamu na eva pia walikuwa weusi. Haya sasa tunafanyeje?
Tuhangaikeni kuboresha maisha yetu ndugu zanguni mambo ya kijinga yasitupotezee muda.hayana maana kabisa.hayajatusaidia mpaka sasa. Tugundue mambo ya kuleta ahueni katika maisha ya waafrika. Kusema Yesu alikuwa mweusi hakutusaidii.
Mtu wa kwanza kuumbwa alikuwa mweusi....then kwa sasa ndo mtu wa mwisho kwa maendeleo duniani.imetusaidia nini?waafrika mpaka tunatafuta sifa za kijinga.kuwa tuna Uume mkubwa kuliko wazungu.na papuchi za wanawake wetu ni tamu kuliko za wazungu. Haya ni hivyo.imetusaidia nini?ππππ Tutafute namna ya kujikwamua kiuchumi,kijamii na kisiasa.
Kuna watu mpaka sasa wanawaza maendeleo yataletwa na wazungu swala la kwanza ni kujitambua, kutengeneza mfumo wa elimu unaoendana na elimu yetu
Inferiority complex iliyosemw bado inaendelea. Huyu mwamba bado hajiamini katika njia ya kujinasua kutoka inferiority complexMtuacheni wayahudi original turinge, Israel ndiyo kwetu haswa. so what? Haikuhusu.
Hkn mtu mweusi Duniani labda kwenu. Ni kweli nyie weusi Mesopotamia siyo kweenu! Wazungu walitaka tuwe kundi moja na nyinyi weusi tukapinga, sasa mnatu mind.
Wayahudi sisi ni dark brown melanin.east africans mtuheshimu. Au people of colour. Ukitaka watu warefu wa rangirangi. Wateule wa Mungu na sisi ndiyo wazuri Duniani kote.
Hivi waafrika (wachawi) tulishindwa nini kuruka na ungo mpaka ulaya enzi zile kuchungulia maendeleo yao ili na sisi tuje tuendeleze miji yetu na kusonga mbele tusiachwe nyuma. Japo nasikia tuna mji wetu mzuri huko Gamboshi, Brussels haioni ndani.
Nasema wazi kabisa bila kumung'unya Maneno weye ni Myahudi haswaaa original haina chenga!!....wala isikupe tabu jua kabisaa huyu Mleta Mada ni Masalia ya jamii ya Esau!! ukichanganya na wengi walio jibu hapa utawajua kabisa ni uzao wa Esau!! hawajifichi!asiyekubali kushindwa si mshindani....historia yetu ipo ambayo inasema ukweli ila hatuutaki ukweli huo. tena hata ukiangalia hiyo historia inavyosema na tulivyo sasa vyote vinashabihiana......tukubali mababu zetu walikuwa hawajiwezi wala kujitambua basi sisi tubadilishe hiyo na mpaka kufikia hapo ni kujitambua tayari na tuendelee zaidi...
Utasemaje babu kajenga pyramid alafu mjukuu hata kujenga ikulu umuite mchina??....
Usiangalia kamoja au tuwili tu!! fikiria kina Gangazomba, Chipiminda na wengine wengi tu hawa walizamisha mpaka Meli za watumwa! ni sawa na nyie leo Mnalima pamba, khawa nk wenyewe kwa mikono yenu na nauri yenukupeleka mazao Ulaya lkn sasa bei MNAPANGIWA!!Tena hapa ndio huwa wananifikirisha Sana nikiangalia picha za misafara ya watumwa,yaani Babu zetu mashababi kabisa Kama thelathini wamekamatwa na waarabu wawil legelege,Sasa najiuliza hivi walikuwa sawa kweli?
Kwa hiyo sisi ndio tulikuwa utumwani Kule Misri?na Musa ndio alikuja kutuokoa?π€π€hebu fafanuaUsiangalia kamoja au tuwili tu!! fikiria kina Gangazomba, Chipiminda na wengine wengi tu hawa walizamisha mpaka Meli za watumwa! ni sawa na nyie leo Mnalima pamba, khawa nk wenyewe kwa mikono yenu na nauri yenukupeleka mazao Ulaya lkn sasa bei MNAPANGIWA!!
au punguza wafanya kazi wako nchini hutaki hupewi hela/Msaada!!...haya muwekeni vyama vingi nchini mwenu hutaki usikanyage Ulaya! km haitoshi juzijuzi hapa Vaeni barakoa hamtaki hatuji kutalii kwenu!!...
hivi wew dada haya yooote huyaoni??au umesahau mara hii kweli??? mpaka unawazodoa hao waliokuwa hawana hata Bunduki?? uchi?..njaa tena wagonjwa, walikuwa na majeraha ya vita jamani mweee!
yaani utumwa umetuandama sana sie wana israel watu weusi...taangu enzi za Musa lkn bado baadhi ya watu hawaelewi somo tu!! Baasi bana mie naenda lala nimechoka