kiLimIlire
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 389
- 884
Kwani KIA ipo mjini Arusha ama Mjini Moshi? Vuta taswira wakati ikijengwa yale maeneo yalikuwaje!! Lakini kwa nini tusitazame uwepo wa Burundi, Congo, Rwanda, Uganda nk kama maeneo muhimu yanayoweza kutengenezewa linkage nzuri na uwanja huu. Kwani ni lazima kila kitu kilete faida leo leo? Kabla ya Chato si kulikuwa na mpango wa kujenga uwanja kama huo kule Misenyi, Kajunguti!! Wakati huo mbunge wa jimbo la Nkege akiwa Waziri wa A. Mashariki aliupigania uwanja huo, wakazi wa eneo lililopangiwa wakalipwa na fidia ila akazidiwa kete na faza house. Tatizo sio Chato, tatizo ni chuki binafsi kwa JPM. Watanzania tunapenda kulalama tu. Vitendo ziro kabisa.Ukweli ni kuwa Chato haikustahili uwanja wa ndege wa hadhi hiyo, ni matumizi mabaya ya raslimali na madaraka. Namuunga mkono JPM ktk mengine lkn si katika hili.
Ingekuwa heri kama huo uwanja ungejengwa makao makuu ya mkoa-Geita, sio wilayani. Kwa kuujienga huo uwanja Chato, maana yake ni kwamba Geita Halmashauri, haitakaa ipate uwanja wa ndege wa maana. Ni heri makao makuu ya Geita yahamie Chato. BTW, baada ya huo uwanja, sasa wawajengee Bandari.
Vv